
Paroles de Wote
...
Paroles de Wote Par IBRAAH
Naimba tena mapenzi
Aaaah aaaah
Iyeeee
Aaaah aaaah
Iyeeee
Aaaah aaaah
Chinga on this one eh
Aaaah aaaah
Oh bebi bebiii
Nishakupa moyo namuomba uhidhi mmmh bebi
Vyanini nifiche me nawaka wazi
Penzi standard gauge
Wasimpanda mapaparazi
For anything am ready
Nipende nikupende tuache vidomo wazi
Ukitoweka ntakumiss
Kama makosa tushafix
Kama kweli unanipenda ni kiss (bebi)
Usninipe za uongo hadithiii
Hisia ukazifirisi
Nikugeuza nitowea ni fish bebi
Nakupenda kweli sikataiii eeh
Naomba unipende hadi mwisho wa uhai oh
Halichuji sikukinai eh
Penzi tamu nishali verify kwa baba god
Baba anabless, god anabless
Mpaka tuzeeke wote tunapendana
Maesha yanaenda race life liko race
Ila bado tuko sote tunapendana
Veeh baba anabless, god anabless
Mpaka tuzeeke wote tunapendana
Maesha yanaenda race life liko race
Ila bado tuko sote tunapendana
Oh lolololo ah
Onanana aaah
Onaaaa
Ooooh yeah
Bebi nikikukosa wewe nimejikosea mwenyewe
Nanun gunika
Babi kukukosa wewe
Nimajuto namuomba mungu yasije nifika
Bivi ni kweli we uliumbwa kwa udongo
Ama umeshushwa we ni malaika, malaikaaa
Unaenipa vya kadhalika eeh
Mi kuna muda nilijuliza why
Kila siku naumizwa mimii
Ama ndia ng’ombe wa masikini hazai
Leo napendwa siamini mimii
Nakupenda kweli sikataiii eeh
Naomba unipende hadi mwisho wa uhai oh
Halichuji sikukinai eh
Penzi tamu nishali verify kwa baba god
Baba anabless, god anabless
Mpaka tuzeeke wote tunapendana
Maesha yanaenda race life liko race
Ila bado tuko sote tunapendana
Veeh baba anabless, god anabless
Mpaka tuzeeke wote tunapendana
Maisha yanaenda race life liko race
Ila bado tuko sote tunapendana
Baba anabless
Like liko race, life liko race
Chinga on this one
Konde music worldwide
Yeehh
Ecouter
A Propos de "Wote"
Plus de Lyrics de IBRAAH
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl