
Paroles de Peke Yangu
...
Paroles de Peke Yangu Par HEMEDY PHD
Kwani nani wewe
Mpaka uniumize kichwa
Kisirani wewe, maumivu yasokwisha
Was i wrong to love you
Put everything above you
Wewe umeniacha mwenyewe
Was i wrong to love you
Put everything above you
Nenda bora niache niliwee
Bora pekee yanguuu
Peke yanguuu sitaki teeeena
Bora pekee yanguuu
Peke yanguuu sitaki teeeena
You know i gave you love mapenzi
Now yamenishinda mi mwenzako siwezi
There is no one above, zaidi yako kipenzi
Was i wrong to love you
Put everything above you
Wewe umeniacha mwenyewe
Was i wrong to love you
Put everything above you
Nenda bora niache niliwee
Bora pekee yanguuu
Peke yanguuu sitaki teeeena
Bora pekee yanguuu
Peke yanguuu sitaki teeeena
We bora nile
Bora nileweeeeee
We bora nile
Bora nileweeeeee
Ecouter
A Propos de "Peke Yangu"
Plus de Lyrics de HEMEDY PHD
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl