
Paroles de Carolina
...
Paroles de Carolina Par HEMEDY PHD
Thamani yako chanda chema
Nangufite kumutima
I love you till the day i die
Kama ni mengi washasema
Ila tulisimama, basi tumalizie chapter hii
Kukupata we ilikua ni ndoto
Kuishi bila we kwangu changamoto
Rudisha moyo nyuma japo leo kesho
Mi na weee
Basi nipokee nipe pumziko
Mema yanakuja sahau mapito
Rudisha moyo myuma hata leo kesho
Mi na weee
Upendo weeeh
Nipeeeh, darling
Heeeeyyy, oooohh
Carolinaaaaaa
We carolinaaaaa
Carolinaaaaaa
We carolinaaaaa
Nakuita hallo
Caro, can you hear me
Nakuita hallo
Caro, do you believe me
Nakuita hallo
Caro, can you feel me
Hallo, caro
Are you ready to leave me
Basi punguza madharau
Nipone angalau, machungu nitasahau yeeh iyeeh
Umetekwa na washika dau
Mi ukanisahau
Iwe kwa shida na raha, hata juu nitapaaa
We uwe na mimi
We carolinaaaa
Caroooo
Unanitesa mamaaa
We carolinaaaa
Well I’m in love with ya
Wala huishi maajabu
Taabani yangu hali I’m crazy over you
Uwepo wako, kwangu dawaaa
And if you wanna go
Usione soo
Let me know
Let me know oooohhh
Ecouter
A Propos de "Carolina"
Plus de Lyrics de HEMEDY PHD
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl