Paroles de Wewe
Paroles de Wewe Par HAMIS BSS
iyeee mmnh lyeee
Maji ya shingo mwenzako natapa tapa
Mimi na wewe mpaka kifo milele siwezi kuku acha
Mmnh siku nikipiga bingo na sisi tuamie tabata
Usije leta mazing zong nikawa teja nikadata oonh
Ni wewe unaenifanya Nijisikie nipo juu kwenye hii Dunia
Ni wewe unaenifanya wakati Sina kitu una nivumilia mmnh
Ndi Ndi Ndi kibaba nakujazia mwenzangu usinipe kidogo
Na penzi usije ukanipimia ukaja nipa robo robo
Kama nikikosa tulale bila kula baby (Mi na wewe)
Kila siku mandondo, dona la kupima (Mi na wewe)
Na wasikurushe roho mambo yatatiki wait (Mi na wewe)
Kwell nakupenda my nisubiri please (Mi na wewe)
Kuna ka mchongo nasikilizia vumilia nitapata
Tuijenge Familia japo tuinue kibanda
Mwenzio sina kimbilio itaniuma roho
Ukiondoka baby weenh na uka go
Ndi Ndi Ndi kibaba nakujazia mwenzangu usinipe kidogo
Na penzi usije ukanipimia ukaja nipa robo robo
Kama nikikosa tulale bila kula baby (Mi na wewe)
Kila siku mandondo, dona la kupima (Mi na wewe)
Na wasikurushe roho mambo yatatiki wait (Mi na wewe)
Kwell nakupenda my nisubiri please (Mi na wewe)
Kama nikikosa tulale bila kula baby (Mi na wewe)
Kila siku mandondo, dona la kupima (Mi na wewe)
Na wasikurushe roho mambo yatatiki wait (Mi na wewe)
Kwell nakupenda my nisubiri please (Mi na wewe)
Ecouter
A Propos de "Wewe "
Plus de Lyrics de HAMIS BSS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl