Paroles de Ua
Paroles de Ua Par HAMIS BSS
We kama kitunguu
Ukikosekana ladha hakuna tena
We ndo langu fungu
Nikutunze daima we ndo chanda chema
Si wapiga debe waruka debe, wala haufanani
Ukisimama kama dede, kae kama ndege
Dema ubaki nami
Usije ukaniacha kwako nimenasa
Aiyoo, wee dada
Kuvuja kwa pakacha
We hasi mi ndo chanya
Zikigusana lawama
Oooh mengine hayahitaji utumie hasira
Mwenzako nakupenda sana
Nimefunzwa mapenzi na subira
Usije jikondesha mama
Mchukuzi ilokosa kuingia ajira
Nimeshajiwekeza mama ee
Ulipo nipo sitabanduka
Nisije nikakukosa baadae
Mwanzo nilijuaga, unanizingua sana
Mwanzo nilijuaga, unanizingua sana
We ndo ua ua, unachanua unanifanya nicheke
Baby we ndo ua ua unachanua hautaki niteseke
Mwanzo nilijuaga, unanizingua sana
Mwanzo nilijuaga, unanizingua sana
We ndo ua ua, unachanua unanifanya nicheke
Baby we ndo ua ua unachanua hautaki niteseke
Taratibu unaongea, na ulivyo mpole mpole
Nikikufokea nahisi nahaso
Maneno hayahitaji upole
Nakukosea haunichoki bado
Nashukuru moyo umenipa
Furahia penzi utulie
Kwenye raha hapakosi shida
Wataongea mengi uumie
Nashukuru moyo umenipa
Furahia penzi utulie
Kwenye raha hapakosi shida
Wataongea mengi uumie
Oooh mengine hayahitaji utumie hasira
Mwenzako nakupenda sana
Nimefunzwa mapenzi na subira
Usije jikondesha mama
Mchukuzi ilokosa kuingia ajira
Nimeshajiwekeza mama ee
Ulipo nipo sitabanduka
Nisije nikakukosa baadae
Mwanzo nilijuaga, unanizingua sana
Mwanzo nilijuaga, unanizingua sana
We ndo ua ua, unachanua unanifanya nicheke
Baby we ndo ua ua unachanua hautaki niteseke
Mwanzo nilijuaga, unanizingua sana
Mwanzo nilijuaga, unanizingua sana
We ndo ua ua, unachanua unanifanya nicheke
Baby we ndo ua ua unachanua hautaki niteseke
Ecouter
A Propos de "Ua "
Plus de Lyrics de HAMIS BSS
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl