Paroles de Nyumba Kubwa (Zuchu Nyumba Ndogo Remix)
Paroles de Nyumba Kubwa (Zuchu Nyumba Ndogo Remix) Par FARI ATHMAN
Ooh mwanamke nyumba ndogo
Umenifika kwa koo!
We mwanamke mwenzangu (Uuh Uh!)
Nasema Ooh! Ooh! mwanamke nyumba ndogo
Umenifika kwa koo!
We mwanamke mwenzangu (Uuh Uh!)
Hawezi kulalamika, kila akija nyumbani
Mkewe mimi hupika, kuja kwako ni utani
Kwangu kanipendea akili, mrembo tena laini
Huyu ni wangu dada pole, usiniletee kisirani
Samahani, samahani mwanzoni
Sitaki wewe ujitambulishe wataka nini?
Mie ndo mke wa kwake nyumba kubwa
Tena nimemkwama mwenzangu kama kamba nimefungwa
Una ubaya, una ubaya nami
Unaniudhi wanikera bure
Una ubaya, una ubaya nami
Unaniudhi wanikera bure
Using'ang'ane na mimi
Ni haki yangu jamani nikujulishe mi chui
Mie nikiwa ndo bibi kwangu haiwezekani
Kwangu bwana anabaki
Sitaki usaidizi wala usinichokoze
Siwezi kumshare mume ndo hivyo mwanamke
Jihadhari chunga sana mwezangu
Usinipate
Una ubaya, una ubaya nami
Unaniudhi wanikera bure
Una ubaya, una ubaya nami
Unaniudhi wanikera bure
Che, che che
Unapenda vitu vya che
Unapenda doze doze
We mwanamke unanikera
Nasema che, che che
Unapenda vitu vya che
Unapenda doze doze
We mwanamke unanikera
Wewe mtoto wa kike
Wacha kumshare share
Wewe mtoto wa kike
Wacha kumshare share
Nasema twende tingisha, we tingisha
Mama mboga tingisha, wewe mama tingisha
Sasa Amira tingisha, we tingisha
Na twende Fari tingisha, we tingisha wewe
Ecouter
A Propos de "Nyumba Kubwa (Zuchu Nyumba Ndogo Remix)"
Plus de Lyrics de FARI ATHMAN
Commentaires ( 2 )
i love your music can i do a cover of one?
i love your music can i do a cover of one?
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl