Paroles de I Feel You
Paroles de I Feel You Par FARI ATHMAN
Salamu nyingi toka tu nyumbani
Natumai kuwa wajua wewe ni wangu
Hivi ndo uliniacha kwangu
Nakumbuka ulipo nipa mawaidha
Bado nikaichukua kwa furaha yangu
Najua ilikuwa mipango yako
Tumetoka mbali bila mali
Ukawa nami kila hali
Haungekubali niende mbali
Baby mi nakupenda rudi tu nyumbani
Hakuna maswali imagine bado nakujali
Nimekubali no need to blames
I know that you got me
They say -- used to feel me
Na mi nataka kuamini nimekubali
I feel you, I miss you
I feel you, I miss you
Still remember all the fun we had
And all the crimes we made oh baby it's so fine
Na tena ukanipeleka mashambani
Kuwaona wazazi hata majirani
Mi ninakupenda nakujali
Kwa hivyo tafadhali rudi nyumbani
Since you left my darling am so blind
The -- this is so real
Mi nakupenda rudi tu nyumbani
Hakuna maswali imagine bado nakujali
Nimekubali no need to blames
I know that you got me
They say -- used to feel me
Na mi nataka kuamini nimekubali
I feel you, I miss you
I feel you, I miss you
I feel you, I miss you
I feel you, I miss you
Ecouter
A Propos de "I Feel You"
Plus de Lyrics de FARI ATHMAN
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl