Paroles de Utukufu
Paroles de Utukufu Par STEPHEN KASOLO
Starborn
Mmmh Mr Seed again
Na Kasolo Kitole
(Alexis on the Beat)
Utukufu ni wako Baba nakupa chukua
Mi nakupa chukua, mi nakupa chukua
Utukufu na heshima, mi nakupa chukua
Mi nakupa chukua, mi nakupa chukua
You rescued me from poverty
Jesus let me praise you
Let me praise you, let me praise you
Ooh Lord let me praise you
You took me when I was helpless
Let me praise you
Daddy let me praise you
Take all the glory
Umenifanya mimi mwana wako
Wacha nikupe sifa aah
Umenifanya mwana
Wacha nikuite Mungu ooh
Wewe ni Mungu na haubadiliki
Wewe ni yule jana leo na milele
Haufananishwi ii
Nakupa sifa aaah
Umenizoa topeni mwana
Umenihurumia sana Yesu
Ninakupenda, ninakuabudu Mungu wangu
Ninakusifu hakuna Mungu kama wewe
Uinuliwe, Uinuliwe Mungu mwema wee
Utukufu ni wako Baba nakupa chukua
Mi nakupa chukua, mi nakupa chukua
Utukufu na heshima, mi nakupa chukua
Mi nakupa chukua, mi nakupa chukua
Aiyayaya
Your voice has reached many nations
Your greatness has been seen
Receive all the glory
Jesus receive all the glory
There is no other king like you
Jesus I praise you
Receive all the praises
Receive all the praises
Receive all the glory
Mimi ni nani nisikupe sifa
Na ulinipenda kwanza
Yesu wangu ee Baba
Mimi ni nani nisikupe sifa
Na ulinipenda kwanza
Yesu wangu ee Baba
Wewe ni Mungu na haubadiliki
Wewe ni yule jana leo na milele
Haufananishwi ii
Nakupa sifa aaah
Utukufu ni wako Baba nakupa chukua
Mi nakupa chukua, mi nakupa chukua
Utukufu na heshima, mi nakupa chukua
Mi nakupa chukua, mi nakupa chukua
Aiyaya
I worship you, I worship you Jesus
I uplift you, I uplift you Jesus
I worship you, I worship you Jesus
I uplift you, I uplift you Jesus
Imela, Imela Jehovah
Imela, Imela Jehovah
Wewe ni Mungu na haubadiliki
Wewe ni yule jana leo na milele
Haufananishwi ii
Nakupa sifa aaah
Utukufu ni wako Baba nakupa chukua
Mi nakupa chukua, mi nakupa chukua
Utukufu na heshima, mi nakupa chukua
Mi nakupa chukua, mi nakupa chukua
Aiyaiya
Ecouter
A Propos de "Utukufu"
Plus de Lyrics de STEPHEN KASOLO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl