Ile Kitu Paroles

BENSOUL Feat KASKAZINI Kenya | Afro-soul,

Paroles de Ile Kitu


Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu

Fanya ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu

Ile kitu iko na kitu
Inanifanya niskie niko mavitu
Ukiendelea utasimamisha jitu
Nifanye vile mimi hufanyia chipo mwitu

Uko na swali niko na jibu
Reggea rhumba yes me too
Nguo see-through I can see you
Mambo yangu yeah

And I know, and I know yeah
Umekuja ukiwa commando
Ukinishika sitasema No
Oooh no

On the low, on the low oh-oh
Nimekudigi toka kitambo
Zikishika basi let us go 
Let's go

Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu

Fanya ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu

Mwanaume akiridhika amesharidhika
Na pahali tumefika umeshanizika
Umeshanishika, zimeshanishika
Najua bila wewe mimi sijakamilika

You are painting love unavyotingika 
Fimbo imerise jasho inamwagika
Umeniweka kwenye zone
I wanna be with you yeah

And I know, and I know yeah
Umekuja ukiwa commando
Ukinishika sitasema No
Oooh no

Cz on the low, on the low oh-oh
Nimekudigi toka kitambo
Zikishika basi let us go 
Let's go

Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu

Fanya ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu
Ile kitu wewe hufanya 
Inafanya niskie kufanya ile kitu

BENSOUL (7 paroles)

Bensoul is a soulful singer-songwriter, multi-instrumentalist (Bass, Acoustic & Electric Guitar, Keys, Drums & Violin) and producer who is progressively building a niche as one of Kenya's top live acts.

He is the first signee of Sol Generation, a record label owned &...

Laisser un commentaire