Paroles de Saida
Paroles de Saida Par DON SANTO
Eh Saida niambie
Kwa nini una manga manga?
Eeh Saida niambie
Kwa nini una manga manga?
Kwa nini una manga manga?
Acha kumanga, manga daily
Kwa nini una manga manga?
There comes a time in life;
Mwanamme lazima awe na wife
Hata ujaribu kuwa na girlfriend;
Unapata umeliwa by month end
Mke wako kule nyumbani;
Utarudi kwake nyumbani
Huna budi umuoneshe mapenzi;
Uachane na wale wa kando
Sasa wewe Saida mami
Mbona unapenda kuwa chips funga?
Una watoto fogo kama mtama
Ila bado wewe wajikaranga!
Sasa wewe Saida mami
Mbona unapenda kuwa chips funga?
Una watoto fogo kama mtama;
Ila wewe bado wewe wajikaranga!
Kwa nini una manga manga?
Eh Saida! Saida mama!
Kwa nini una manga manga?
Mbona wewe mami, unamanga manga kila day?
Kwa nini una manga manga?
Eeh Saida! Saida!
Kwa nini una manga manga?
Saida yule yule patikana na boda boda!
Saida yule tena ameshikwa na MCA!
Saida yule yule ametiwa mimba na nani!
Saida huyu huyu amepigwa sokoni kule!
Saida yule tena anenguwa kiuno pale! (Whistle)
Saida tena nini wabadili rangi ya mwili?
Unalamba moto, utakuja chomwa;
We Saida unalamba moto, utakuja chomwa
Eh Saida niambie
Kwa nini una manga manga?
Eeh Saida niambie
Kwa nini una manga manga?
Kwa nini una manga manga?
Acha kumanga, manga daily;
Kwa nini una manga manga?
Ecouter
A Propos de "Saida"
Plus de Lyrics de DON SANTO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl