Paroles de Athman Wangara Khamis
Paroles de Athman Wangara Khamis Par DON SANTO
Papa Santo, the one and only
Papa Santo,
The Badman Killa mia mia!
Omwami OCB
Sioni mfano wako kamwe
We ndio busy bee
Hukosi kwa kila boma
Msaada unawapa, Athman Wangara
Kipenzi cha watu wote bane
Huna maringo, hukosi kwa kila jiji
Upendo unawapa...
And, around you, around you
Around you, around you
Around you, around you
Is always fun (fun) haha
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema
Kuna ushuhuda tosha kwa maendeleo
Tajriba una sifa toka jana hadi leo
Omwana wa Hamisi Boyi you got my attention
Sholi nende ubaguzi you got affection
How are you? How is home?
Huchoki kuyauliza
Chair Matungu constituency;
Mwandishi wa “Bwana Ugali"
And, around you, around you
Around you, around you
Around you, around you
Is always fun (fun) haha
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema
There ain’t many kind
Klassik Nation twende lote
Dunda na Kalpop!
Osibisa, twende lote
Dunda na Kalpop!
Oh mama, twende lote
Dunda na Kalpop!
Kingpheezle, twende lote
Dunda na Kalpop!
Nairobi city...
Dunda na Kalpop!
Kule Matungu, Kakamega
Aaah salamu kwenu
Dunda na Kalpop!
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema
The Wangaras, twende lote!
Dunda na Kalpop!
Oh ye thou Klassikans, twende lote!
Dunda na Kalpop!
Sha! Rhhhh, ahaaa kabisa
Don Santo natuma salamu kwake
Athman Wangara Khamis
Mheshimwa aliye tosha
Mheshimiwa mtarajiwa!
Ecouter
A Propos de "Athman Wangara Khamis"
Plus de Lyrics de DON SANTO
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl