...

Can Kare Lyrics by FATHERMOH


Hi flow ni kondoo goat

Ni rare bombo

Naeza kutoa ngira

Usoft ukae sonjo

Na si uchawi ni kazi mob

Na kuomba solo

Ni mistake kuamini goshodo

Ana michoro ah

Ka ni mmmh

Namcaff

Kakipenda deep steam

Namserve

Nampeleka mbio

Half time pass

Ikisha mwagika

Haizoleki tap

Hii ni eaaasssy

Na ka ni kwela namdish

Kudai yote kuteta ju ya tip

Kipsigis simkute atakudip

Katika kakizama basi

Can kare one

Can kare two

Can kare kare

Akinyonya poa nammare

Bombo , Ai nyi ma nyi ma nyima

Can kare one

Can kare two

Can kare kare

Akinyonya poa nammare

Bombo

Ai nyi ma nyi ma nyimabane

Burn choma yoh

Burn choma nikiburn

Me ni transformer

Namchum chum

Nduru ni za chuchu

Shawty anatetema , Akisusu

Sa nimpige busu

Sa tukate nusu

Akipiga nduru ikizidi

Washa Bluetooth

Jirani akishuku

Keja tuko bubu

Nikipenya shimo

Ananimada , mi ni dudu

Hii ni eaaasssy

Na ka ni kwela namdish

Kudai yote kuteta ju ya tip

Kipsigis simkute atakudip

Katika kakizama basi

Can kare one

Can kare two

Can kare kare

Akinyonya poa nammare

Bombo , Ai nyi ma nyi ma nyimabane

Can kare one

Can kare two

Can kare kare

Akinyonya poa nammare

Bombo , Ai nyi ma nyi ma nyimabane

Watch Video

About Can Kare

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright : © Canvass Records. All Rights Reserved
Added By : Farida
Published : Aug 03 , 2025

More FATHERMOH Lyrics

FATHERMOH

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl