Kum Baba Lyrics
...
Kum Baba Lyrics by WAKADINALI
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba
Zima huyo fala ka fegi akianza joh kumblein
Pedi huchoma ganja vedi anasahau ni plain
Cut cocaine ufuate kurt cobain
Ni ma tap tap tap tap, adisia tei
Nikona alele na nakauma hadi che
Pande ya left ni gwethe hio ingine ni cheng
Anataka nimlay lay na hakutuma hata plate
On to the next, huwa hatufinyi replay
Nimekua engaged na mavitu mingi
Ndio maana nimekua nikiua verse
Hii ni carcass waliidash but wakashindwa vile wataireverse
I be the worst of the best ndio maana nikimada mnasema ati najigas
Na nikarest case nikapanga vile naweza nikaji-emerge??
Nawaonyesha vile naweza murder the rest
Ka hii ni contest basi niwache nikiingia jiembrace
Naweza confess nimekua murderer kutoka niwache tei
Madenge nakomesha vile nawamanganga joh ni kama ni mei
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba
Me huwa nabite
Vile nakuja vibaya utadhani natema na gun
Ndo unadai vile nachenga hadi refa anakuja na ganji tumunch
Mpini na ndai napita polite bado nakula manduku bie
Mtichi kuchai akuje na bike, buda mi hupita na benz benz
Mlinzi ako site mbon unatense
Me huwa nakunja hadi chuma inabend
Nataka bunde sitaki tudem
Nataka unipe halafu buda nilearn
Nina kwela kwa bed nataka tushare
Mi si ka Diddy
Nitakuita kwa bed
Sitaki unipee nakuja kutake kama si daily
Unatema revenge
Boom bye bye, shot ah fly to the sky
Dem a come fi dis I, but me fi come fi destroy
Shot inna de head, fi di leaky leaky boy
Just a copper and lead fi dem likkle like a toy
Woi, tell em’ she mazgubaz
Zinafanya nifanye scene ndani ya mask waulize “who dat”
Buda utabugda ki ruger kikishuta
Press gas ni mafuta matweeter zinachuna (a big tune)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba
Mboka, best
Liquor best
Chica, bestie, I guess
Anika breast, pupa less
Jah jah amekubless say it with your chest
Track ares, kwa track na race
Walitry kuniarrest, K.U hukuwa mess
Huwezi nihemesha shimo hukua pesa
Tracy na Vanessa, KC bila chaser
Baby I don’t really wanna hurt you
Before unyonye kwanza fanya haaathu
Beef inafanya ninakaa stew
Na release kwa hii beat kile napass through
Man a wizard unaeza uliza uliza
Kutembea na baba yao kijana huwezi kula gizzard
Huski Saudi wanawakunia
Ukifika huko shauri yao ni kulia
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum baba, kum baba, kum baba (kang! Kang! Kang! Kang!)
Kum kum baba, kum kum baba
Watch Video
About Kum Baba
More WAKADINALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl