
Tamu Lyrics
...
Tamu Lyrics by Zaituni Wambui
Nimependwa nikapendeka Wanasema nimerogwa Sina noma
Ananifaa
Ananifaa mimi ananifaa mimi
Ananipea mahaba kwa wingi
Hanipimiii ananipea yote yote
Kashaamua kunipenda misimu yote yeah
Naamini ashapata ubavu wake
Na ni mimi hapa habanduki
Eeh eeh eeh
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi
Tam tam tam sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi
Tam tam tam sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi
Tam tam tam sana mapenzi tamuuu
Ninamjua ananijua
Ananielewa Zaidi ya anayenijua
Na nikinuna ananituliza
Ananibemebeleza roho inatulia
Ananiamini, Ninamuamini
Hatuna siri twaendana, shilingi kwa ya pili
Na sio siri
Sio siri
Kupendwa raha
Kupendwa tatatatam
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuu
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi ni tamu sana
Inadonjo inadonjo tu vibaya
Amini usiamini
Niliapa sitawahi penda mwingine
Ona sasa
Nikiwa na yeye haunipati na nikiwa na yeye haumpati
Na nikiwa na yeye it’s a party
Nikiwa na yeye hakutaki
Na nikiwa na yeye sikutaki eeeh
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi
Tam tam tam sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi
Tam tam tam sana mapenzi tamuuu
Tamu sana mapenzi
Tam tam tam sana mapenzi tamuuu
Watch Video
About Tamu
More Zaituni Wambui Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl