Mungu Mkuu Lyrics
Mungu Mkuu Lyrics by EVELYN WANJIRU
Yaweeeh
Eee iyee iyeee
Unabaki kua Mungu pekee. yaweeeh
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Nikitazama nyuma na mbele naona ukuu wako. Kaskazini kusini pia
Naona ukuu wako Magharibi nako mashariki pia ee naona ukuu wako
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Hakuna mkamilifu katika wanadamu iyee, ,
Zaidi ya ee weh Mungu wangu Mungu wangu Kila goti lipigwe
Kila ulimi ukiri kuwa wewe ni Mungu pekee pekee weewee
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega hubadiliki kamwe...
Umenipigania vita vikali. Hadi mimi singeweza, , peke yangu.
Maadui waliniandama
Lakini ukawatawanya kwa njia sabaa Usifiiwe Uabudiwa
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Unabaki kuwa Mungu tuanabaki kuwa,
, Mungu tu Na kwa wakamba
Na kwa waluhya Mungu tu
Na wakikuyu Mungu tu
Na kwa waturkana Mungu tu
Hata wakisii Mungu tu
Hata waluo Mungu tu
Na kwa wamasaii Mungu tu
Na kwa wakalenjin Mungu tu
Eeeyeye Mungu tu
Na mijikenda Mungu tu
Unabaki kuwa Mungu tu
Na kwa wazungu Mungu tu
Afrika yote Mungu tu
Dunia yote utabaki kua Mungu mkuu.
Mungu tu
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega hubadiliki kamwe
Zaidi ya yote utabaki kua Mungu mkuu.
Watch Video
About Mungu Mkuu
More EVELYN WANJIRU Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl