Lewa na Pesa Yako Lyrics
Lewa na Pesa Yako Lyrics by ERIC OMONDI
Mukunywe mutingike
Mzinga iko wazi
Mzinga iko wazi
Wacha
We wacha wewe
Nakuitia form
Unakuja na dem yako
Ungetumia buruwein
Ukuje peke yako
Lewa na pesa yako
Lewa na pesa yako
I say na dem wako naye
Kakuja na mbogi yake
Wana kiu mbaya msee
Wanataka wale wewe
Lewa na pesa yako
Lewa na pesa yako
Mzinga ni moja tu, soda ni moja tu
Mzinga ni moja tu, soda ni moja tu
Soo tano yangu, soo mbili yako
Haitatutosha
Mzinga ingine, soda ingine
Iletwe
Lewa na pesa yako
Lewa na pesa yako
Sasa tufanyaje manze
Tuhepe hawa madem
Hatutachoma picha manze
Na sasa tufanyaje?
Lewa na pesa yako
Lewa na pesa yako
Mzinga ni moja tu, soda ni moja tu
Mzinga ni moja tu, soda ni moja tu
Le MVP, MVP mzinga ni moja tu(Bwakine)
Aya sikiawee, Rais nimefika
Sikia wee, kila mtu apewe kitu
Aya waiter wapi mzinga? mzinga
Kila mtu apewe yake
Ashike yake
[Propesa]
Hallo William?
Eeh eeh ni sisi
Unaangalia moshi mahali uko?
Eeeh ni sisi tumechoma picha
Eric Omondi alituita kwa clabu
Akasema tuprocue mayengs wengi
Eti ye ako na pombe
Alafu crisis imetokea
Emergency imetokea
Ni kama hakuwa amejipanga mzuri
Bado niko peke yangu
Kiptanguson ameanza kutapika sukuma wiki
Ni kwa nini mtu anatapika sukumawiki
Ata ka alikula nyama?
Eh eh ndio huyu ebu ongea na Eric
Wacha nikupee ndio huyu..mtumie kwa simu yake
[Eric Omondi]
Wape wape(Wape) Nasema wape(Wape)
Wape wape(Wape) Sasa wape(Wape)
Wanataka tot(Wape) mzinga(Wape)
Wengine na chaser(Wape) ongeza(Wape)
Oya mayengs, mikono juu
Ebu shusha chini
Leta tena juu
Shusha kwa kiuno
Tunawapea wapea
Tunawapea wapea
Pande hii, Pande hii
Pande hii...(Eeh eeh eeh eeeeh)
(Eeh eeh eeh eeeeh...)
Boss, Eric Omondi
The one and only
Ngiri ngiri ngiri
Le Presidante Africa!
Ahuu!
Watch Video
About Lewa na Pesa Yako
More ERIC OMONDI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl