Usiende Lyrics by BRAYBROWNMUSIC


Hello my queen upo wapi mama
Your my dream nmekumiss sana
Hello my queen upo wapi mama
Your my dream nmekumiss sana

Nikubaya oooh nikubaya
Tena nikunoma oooh nkunoma
Nikubaya oooh nikubaya
Tena nikunoma oooh nkunoma
Nenda nenda ukienda haki sitopenda
Nenda nenda ukienda haki sitopenda
Usiende mbali nami ukienda haki sitopenda
Usiende mbali nami ukienda haki sitopenda
Usiendembali nami sio eti sijui kupenda oooh nohhhh
Is a monday morning imefika mi nashindwa
Nini unataka.nmechoka mimi kusemwa mimi
Wanikumbusha mbali oooh mbali
Ulivyokuwa una wine yee una whine yee
Unafanya mimi na shy mi na shy
Mnafeel nko high nko high mimi

Nenda nenda ukienda haki sitopenda
Nenda nenda ukienda haki sitopenda
Usiende mbali nami ukienda haki sitopenda

Usiende mbali nami sio eti sijui kupenda ooooh nooooo
Wanitesea nini nani nikupee nini wanitesea nini wewe eeeeeh
Mami umeniweka umeniweka
Unafanya minachekwa mimi nachekwa
Mimi nachekwa mimi
Nenda nenda ukienda haki sitopenda
Usiendembali nami sio eti sijui kupenda yeeeh
Braybrownmusic

Watch Video

About Usiende

Album : Usiende (Single)
Release Year : 2023
Added By : Braybrownmusic
Published : Jul 26 , 2023

More BRAYBROWNMUSIC Lyrics

BRAYBROWNMUSIC

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl