Walifuata Jina Lyrics
Walifuata Jina Lyrics by ENOCK BELLA
Oyoyoyo yoyo
Oyoyoyo yoyo
Hello sweetheart
Nataka uplay hii part
Walioishindwa wenzio
Waliniwekaga kati
Na kunichambua ka chapati
Mixer ma tulsa kwenye nguo
Eeeh eeh
Eti muhimu sina ye
Me ni chaini goroka ni-chill naye
Me nao hatuwezi dumu
(Hatuwezi dumu)
Hawakutaka kupima ye
Kumbe maji marefu kina ye
Walinihisi wa msimu
Ayee...
Mapenzi bwana balaa
Walinibeba ufala
Kila kukicha balaa
Mpaka naikosa furaha
Kumbe walichofuata iyee(Walifuata jina)
No no no (Walifuata jina)
Hawakunipenda mie(walipenda jina)
Ayee(walipenda jina)
Kumbe walichofuata iyee(Walifuata jina)
Auwo (Walifuata jina)
Hawakunipenda mie(walipenda jina)
Ayee(walipenda jina)
Na roho inauma(inauma aaah)
Sijuti yale mapenzi nilo patiana
Hali imejitia tamu,
Nilopotea bunge
Hata kidogo wangeumia(wangeumia)
Kumbuka mengi si yanafika
Mimi nimedhani penzi maji laini
Ya wapi? Kumbe nina bana pini
Hawaonekani
Hebu waone washakula kona eeh
Penzi langu mbovu nani ata shona eeh?
Sitaki kuumwa nataka kupona
Na kwenye kichwa changu washalete noma ooh
Walifuata jina
Walifuata jina
Walipenda jina
Walipenda jina
Walifuata jina
Walifuata jina
Walipenda jina
Walipenda jina
Noma kweli,
Naumia ndani(naumia ndani)
Noma wowoyoo, we mama moyoo
Mama moyoo, we mama moyoo
Noma moyoo, mama wowoyoo
Mama moyoo
Mapenzi bwana balaa
Walinibeba ufala
Kila kukicha balaa
Mpaka naikosa furaha
Kumbe walichofuata iyee
Walifuata jina
Walifuata jina
Walipenda jina
Walipenda jina
Walifuata jina
Walifuata jina
Walipenda jina
Walipenda jina
Watch Video
About Walifuata Jina
More ENOCK BELLA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl