Nuru Lyrics
Nuru Lyrics by DOGO JANJA
Akikaa na mashoga zake sifa kwangu mimi
Anadai ni mimi tu mwingine wa nini?
Alivyo ni beautiful nashindwa kuamini
Minywele misinga singa macho kama jini
Pale penye tumetoka hawajui nawe
Milima na mabonde tumepigwa mawe
Bahari ya mapenzi nakatiza nawe
Na wewe
Pale penye tumetoka hawajui nawe
Milima na mabonde tumepigwa mawe
Bahari ya mapenzi nakatiza nawe
Na wewe
You give me appetite
Nakunyonya mpaka my love bite
You give me appetite
Nakunyonya mpaka my love bite
You make me say, we ni nuru
We ni nuru, we ni nuru
She make me say, we ni nuru
Better wakiniita Babylon
Ilimradi nakufuata mi sioni
When you walk(When you walk)
Ujue unanichosha kabisa
Na uki booty bounce
Mie unaniroga kabisa
Me and you till I die
Till I die
Nitakufuata mpaka mwisho wa uhai
Mwisho wa uhai
Pale penye tumetoka hawajui nawe
Milima na mabonde tumepigwa mawe
Bahari ya mapenzi nakatiza nawe
Na wewe
Pale penye tumetoka hawajui nawe
Milima na mabonde tumepigwa mawe
Bahari ya mapenzi nakatiza nawe
Na wewe
You give me appetite
Nakunyonya mpaka my love bite
You give me appetite
Nakunyonya mpaka my love bite
You make me say, we ni nuru
We ni nuru, we ni nuru
She make me say, we ni nuru
Come close, come closer
Tonight ooh come closer
Beiby come closer
Watch Video
About Nuru
More DOGO JANJA Lyrics
Comments ( 1 )
Nakubal mwamba
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl