Zunguka Lyrics

DAVID WONDER Kenya | Gospel,

Zunguka Lyrics


Oooh nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah 

Nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah 

Wacha na ijulikane
Mungu wangu anaishi
Tangu si tupatane
Sijawai kosa dishi

Wacha na ijulikane
Mungu wangu anaishi
Tangu si tupatane
Hatujawai kosa sisi

Ndio maana
Aii aii aii aaii ai
Ooh nimekuona Baba
Aii aii aii aaii ai
Ooh nimekuona Baba

Kupata kazi kwa ofisi
Lazima uhonge mafisi
Na binadamu hawaridhiki
Lakini kwako kwako kwako..

Oooh nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah 

Nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah

Wacha naijulikane
Nakutegemea wewe tu
Bila we si rahisi
Kuzunguka daily kwa miguu

Sometimes ata nakosa 
Kuwekea skuma kitunguu
Na mengine sitasema
Nitawahadithia wajukuu

Na ndio maana
Aii aii aii aaii ai
Ooh nimekuona Baba
Aii aii aii aaii ai
Ooh nimekuona Baba

Kupata kazi kwa ofisi
Lazima uhonge mafisi
Na binadamu hawaridhiki
Lakini kwako kwako kwako..

Oooh nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah 

Nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah

Aii aii aii aaii ai
Aii aii aii aaii ai

Oooh nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah 

Nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah

Oooh nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah 

Nilizunguka
Zunguka yeah yeah 
Kabla sijakupata 
Nilizunguka yeah yeah

Safri records

Leave a Comment