Chanda Chema Lyrics
Chanda Chema Lyrics by DARASSA
Tell me now what you do for the love
What you do for the love
Give it up ,give it up for the love
Usijali unapakwa hinna unapaka powder
Fanya mambo yako nakungoja
Moyo umeshataka mimi nafwata order
Huwezi kukata kiu kwa kisoda
Pesa ijiseti shika kamata
Ka unataka mapenzi yako hapa
Shaka shaka, chapa hapa
Wakituona wana tapa tapa
Umeweka kambi maeneo haya
Wanasema wazuri ndo hutapa pabaya
Never die, never expire
Tusichezee mapenzi ya moto fire
Na kama mapenzi safari,
Mi kwako nishafika ninako kwenda
Au kama bahari, basi nifunze kuogelea
Na ungekuwa mchezo usiwe kamari
Au kubeba maji kwenye teka
Leo mbele yako nakula kiapo
Walahi mie sina mwingine tena
Wakufanya nicheke
Na kama chanda bado chema
Cha kuvikwa na pete
Walahi mie sioni mwingine tena
Wakufanya nicheke
Na kama chanda bado chema
Cha kuvikwa na pete
Tell me now what you do for the love
What you do for the love
Give it up ,give it up for the love
Kwenye mwiba nita chechemea for my woman
Bahari nitaogelea for my woman
A real man care for the woman
Anaweza kukosea kama human
Nitakufanyia change
Sitakupatia mapenzi
Nitakutungia tenzi nikuimbie
Nikusifie, ujisikie
Uko na mie songea nikuambie
Siwezi acha kiti chako mtu akalie
Siwezi vunja moyo wako sitaki uumie
Yes I do, am telling the truth
My heart, my love all I give it to you
Na kama mapenzi safari,
Mi kwako nishafika ninakokwenda
Au kama bahari, basi nifunze kuogelea
Na ungekuwa mchezo usiwe kamari
Au kubeba maji kwenye teka
Leo mbele yako nakula kiapo
Walahi mie sina mwingine tena
Wakufanya nicheke
Na kama chanda bado chema
Cha kuvikwa na pete
Walahi mie sina mwingine tena
Wakufanya nicheke
Na kama chanda bado chema
Cha kuvikwa na pete
Tell me now what you do for the love
What you do for the love
Give it up ,give it up for the love
Shika kamata
Yako hapa
Chapa chapa
Wakituona wana tapa tapa
Never die, never expire
Sema mapenzi juu ya moto, fire
Watch Video
About Chanda Chema
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl