
Chuchuchu Lyrics
...
Chuchuchu Lyrics by CHRISTIAN BELLA
CBO
Mpenzi
Wendo roho angu mimi
Mapenzi yako
Ndo ya ni weka mjini
Kama Mioyo inge umbwa miwili moja
Ningekupa wewe
Mana nisha kusajili moyoni
Weuko mwenyewe
Kitambi kipo
Kishavu kwa mbali
Inaumapipo
Awapati afhadhali
Kitambi kipo
Kishavu kwa mbali
Inaumapipo
Awapati afhadhali
Chu chu chu chuu
Chu chu chu chuu
Dunia nzima najiona mwenye bahati
Kukupata sheri
Wakikufata wambie wamesha chelewa
Mina kupenda kweli
Na kupenda una nipenda
Hata nikinuna nuna
Una nirudishaga kwa mudi baby
Nikupeleke zanzibari
Upate upepo wabahari
Upige mafoto maselfie ujiposti
Baby we warushero
Warushero
Mina we mpakakifo
MPakakifo
Kitambi kipo
Kishavu kwa mbali
Inaumapipo
Awapati afhadhali
Kitambi kipo
Kishavu kwa mbali
Inaumapipo
Awapati afhadhali
Chu chu chu chuu
Chu chu chu chuu
Watch Video
About Chuchuchu
More CHRISTIAN BELLA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl