Nasebenza Lyrics
Nasebenza Lyrics by CHIN BEES
Eey nasebenza yoh bado nasebenza
Soja one bullet bado nateleza
Wanaombea nistaa ila hawatoweza
Soja one bullet bado nateleza
Nasebenza yoh bado nasebenza
Soja one bullet bado nateleza
Wanaombea nistaa ila hawatoweza
Soja one bullet bado nateleza
Oooh napiga goti nasali
Mungu azidi kunibless me
Aniweke mbali na shari
Pia aniepushe na enemies
Wanaonipenda wachache
Wanaonichukia ni wengi sana
Ndio maana naganga mala everyday
Marafiki wako far maadui wako near
Napray so hard maadui wangu kuclear
Marafiki wako far maadui wako near
Napray so hard maadui wangu kuclear
Nahustle everyday
Jasho sio kubwa liwashe
Nasaka chambi eeh
Tena kwa mwendo wa kasi
Navyowapanda ka farasi
Ndo wanavyodiscuss
Allday time
Eey nasebenza yoh bado nasebenza
Soja one bullet bado nateleza
Wanaombea nistaa ila hawatoweza
Soja one bullet bado nateleza
Nasebenza yoh bado nasebenza
Soja one bullet bado nateleza
Wanaombea nistaa ila hawatoweza
Soja one bullet bado nateleza
Nashukuru kwa pumzi na uhai
Lakini bado I want some more
Sitakufuru Mola wangu sinitawahi
Lakini bado I want some more
Haikatai, ikikataa tunafosi
Jibaba napiga dingima
Mpaka mtoni ujae floati
Punza kutosha ndo maana
Kuwakibisha sichoki
Mwedo wa kipompi pompi
Haina kulosti losti
Aha nahustle everyday
Lisho sio pupa liwashi eey
Nasaka chambi eeh
Tena kwa mwendo wa kasi
Navyowapanda ka farasi
Ndo wanavyodiscuss
Allday time
Nasebenza yoh bado nasebenza
Soja one bullet bado nateleza
Wanaombea nistaa ila hawatoweza
Soja one bullet bado nateleza
Nasebenza yoh bado nasebenza
Soja one bullet bado nateleza
Wanaombea nistaa ila hawatoweza
Soja one bullet bado nateleza
Watch Video
About Nasebenza
More CHIN BEES Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl