Waisome Lyrics
Waisome Lyrics by CHEGE
Watanzania leo tunafaidi, ah lalalala
Spidi ya Magufuli sio baridi, lalalala
Anatimiza yote aloahidi, lalalala
Kurudi ikulu tena haina budi, lalalala
Wacha waisome, waisome namba
Wacha waisome
Wacha waisome, waisome namba
Wacha waisome
Umedhibitisha umma
Magu ndo Rais anayetufaa
Tunaamini sera zake
Na wale walioko chini yake
Mama Samia, Majaliwa
Jepu vigogo tunaishi nao sawa tu
Spika Dugai, Jaji mkuu
Awamu ya tano mko lit naona kazi tuu
Baba sisi tunashukuru wala hatutolalama
Aaaah- aaah --aaah
Hatutaki kufuru taifa liende salama
Aaaah- aaah --aaah
Wacha waisome, waisome namba
Wacha waisome
Wacha waisome, waisome namba
Wacha waisome
Magufuli mbele kwa mbele
Taifa lisonge
Makonda mbele kwa mbele
Dar isonge
Mwakembe mbele kwa mbele
Michezo lisonge
Kigogwa la mbele kwa mbele
Gari lisonge
Wafanyi wa biashara
Machinga Kariakor
Sasa wako huru
Hakuna kukabwa koo
Walipa kodi za majengo
Walipa kodi za biashara
Walipa kodi za maduka
Hakuna foleni
Baba sisi tunashukuru wala hatutolalama
Aaaah- aaah --aaah
Hatutaki kufuru taifa liende salama
Aaaah- aaah --aaah
Wacha waisome, waisome namba
Wacha waisome
Wacha waisome, waisome namba
Wacha waisome
Watanzania leo tunafaidi, ah lalalala
Spidi ya Magufuli sio baridi, lalalala
Anatimiza yote aloahidi, lalalala
Kurudi ikulu tena haina budi, lalalala
Wacha waisome, waisome namba
Wacha waisome
Wacha waisome, waisome namba
Wacha waisome
Watch Video
About Waisome
More CHEGE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl