Sawa Sawa Lyrics
Sawa Sawa Lyrics by BRUCE MELODIE
Sawa sawa, sawa sawa
Sawa sawa, sawa sawa
Now that you're gone away
My heart will always stay (Sawa sawa)
So young and free like we
We were we always be
Hata wengine wakisema watasema
Kwa sababu niko sawa, niko njema
Who Jah bless no man can test
I let it go
Sawa sawa, sawa sawa, sawa sawa
Just let it go
Sawa sawa, sawa sawa, sawa sawa
I let it go
Sawa sawa, sawa sawa, sawa sawa
Just let it go
Sawa sawa, sawa sawa, sawa sawa
Yeah, uh mambo freshi sitaki kesi
Kata keki haraka upesi
Sina ubaya mi siteti
Ka ni guoko niko na jeshi
Paper chasing, money making
Khali taking, over-taking
Ka ni racing tuko fao
Nipe malkia sitaki ashawo
Bruce Melody that be my brother
But I show you how we flip it
Ka bado hujadiscover
Tule inataka ibada
Hii ni ya wale wako rada
Tusibonge juu ya baraka
Nimeona mkono wa baba
I'm on a roll
Nimechill kama Coke baridi
Since uende nimekuwa nikifloss zaidi
Niko sawa sawa, sikuwa na gawa gawa
Omundu strong, rungu pia ni ya power power
So here we go, chini joo
Uko shwari mambo shwari
So here we go, chini joo
From Nairobi to Kigali
So here we go, chini joo
Say 1, 2, 3
Hata wengine wakisema watasema
Kwa sababu niko sawa, niko njema
Who Jah bless no man can test
I let it go
Sawa sawa, sawa sawa, sawa sawa
Just let it go
Sawa sawa, sawa sawa, sawa sawa
I let it go
Sawa sawa, sawa sawa, sawa sawa
Just let it go
Sawa sawa, sawa sawa, sawa sawa
Watch Video
About Sawa Sawa
More BRUCE MELODIE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl