Smart Kwa Street Lyrics by SPOILER GANG


Kwa street kwa street
Kwa street kwa street

Lazima ukuwe tu smart kwa street 
Ju bila doh hautadish
Wacha kujifanya vile uko on heat
Na unachat chat kama bitch
You woun't do you karma will
It's evident we ndo snitch
Smart kwa street
Lazima ukuwe tu smart kwa street

Lazima ukuwe tu smart kwa street 
Ju bila doh hautadish
Wacha kujifanya vile uko on heat
Na unachat chat kama bitch
You woun't do you karma will
It's evident we ndo snitch
Smart kwa street
Lazima ukuwe tu smart kwa street

Usinicall manze kwa banner
They didn't teach you some manners
Ulikuwa wapi ikiumana
Sijai waona bana

Najua bro jo amechanjwa
Aepukane na hizo swara
Utakunywa Sprite ama Fanta?
Utapiga Gucci ama Gabanna

Utakubali ama utakana
Alituoana akatuona mafala
Ukinikanyaga utaharibu pamba
Bro akijam ni upanga

Hauskii -- ni snitch
Romours kwa street
Vitu poa poa cause kwa bitch
Ni ma Nike kicks
(Yoh madclan)

Right and left napenda makush kush man
Naseti hio mbogi jina ni dr Runa
Nakeep it lowkey, jiglock haihitaji mbogi
Co-cock naiko kwa pori, so long siwezi worry
Kretsa ni ya watu ngori maan

Niko kwa scene, boo gang washakuwa mi
Pull up with no retreat
Cock-it na ishakuwa scene
G wangu ana bling
Ngoto safi pia the jeans
Shit zangu huwa real
Nina blunts nimejipin

Lazima ukuwe tu smart kwa street 
Ju bila doh hautadish
Wacha kujifanya vile uko on heat
Na unachat chat kama bitch
You woun't do you karma will
It's evident we ndo snitch
Smart kwa street
Lazima ukuwe tu smart kwa street

Lazima ukuwe tu smart kwa street 
Ju bila doh hautadish
Wacha kujifanya vile uko on heat
Na unachat chat kama bitch
You woun't do you karma will
It's evident we ndo snitch
Smart kwa street
Lazima ukuwe tu smart kwa street

Listen, it's mad

Mi narep hio hood hakunaga haste
Hakuna kucopy
Na huyo nigga amejifanya gwangi East
Atajua ye ni doggy huku
Atakulanga masoki dondi, ashageuziwa mbogi
This can be easy and this can be difficult
Is a must lazima ukuwe tu smart

Hizi streets hakuna kusnitch hakuna kucopy
Ni kuwork hard mi ni mnaya opps hauwezi nifish
Fans kwa streets kila mtu equip
Gang ni clean got two shangs
Close your mouth you can ne next
Snitch aligeuzwa dead

Maganjimi nilisaka doh wap zikam like this
Na huyu bitch alicopy paste ish gross mavis za chin
Kwa hood kwa bila lish--

Sitawin muthenya uyu ni witu
Ala --rip kwa my gees
We na roba, hizi streets sitawin
Too smart my gee, big up Yasa
We ni mreal mad clan, mad clan

Lazima ukuwe tu smart kwa street 
Ju bila doh hautadish
Wacha kujifanya vile uko on heat
Na unachat chat kama bitch
You woun't do you karma will
It's evident we ndo snitch
Smart kwa street
Lazima ukuwe tu smart kwa street

Jogging trapping
Finesse their block when driving
Opps kwa kang and skunking
Forensic si ma top ranking
I've never hold a brand new 9
Move your gang haikuangi imejipin
Have you ever seen a blood floating
Know your gang haijai ni ching

Chingting big ting
Si ndo ma victim wa licking
Na killing, East no tripping utasinking
Uking'ang'ana na drilling 
Look fisa dripping and flipping
Babys are sleeping
----
But we know we working

Juzi kuna dem alicall my phone
Anataka akam nimtolee form
So nikamseti nikampee bong
Kiasi dem ashatoa thong
Mi nikamedi ju niko mazone
Na matha alinshow nisikule thought

Nikatry kumchuja before nifall
Lakini dem haskizi
Tebu vaa nguo na utoke hapa
Na usitry kubeba shada
Dem hatoki manze hii ni blunder
Kiasi ashaanza kufungua bra
Manze si bling kwa line nastamp
Venye anawalk nashindwa rada
Rada man nafumble, manze jo hii nayo ni blunder

Watch Video

About Smart Kwa Street

Album : Ulalaa (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 18 , 2021

More SPOILER GANG Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl