Vinono Lyrics
Vinono Lyrics by BRIGHT
Huh! ushanivisha vijato hadi mikononi
Love mpaka jikoni
Style ya wavu totoa huku kikaangoni
Ushavu mpaka sioni
Wangu wa ubavu wa moyoni
Uliye niepusha na taabu zote za kitondoni
Mbele za watu mrembo nakuita njoo
My baby baby
Ushanifunga tena sio ngome draw
My baby baby
Ubachelor sitaki
Kuku wangu mi ni manati
Sichezei bahati
Shuti mi nafunga penati
She got a bombo, sioni
Ndege mjanja kanasa tunduni
Gal vumvum kinondoni
Sipumui ye kanikaba shingoni
Mapenzi huwa unaniwezaga, sana sana
Nikipenda sipendagi tena, tena tena
Kwako madanga yanadema, dema dema
Nakuvisha pete chanda chema, chema chema
Mi napenda vinono nono, vinono nono
Basi nipe vinono nono, vinono nono
Mi napenda vinono nono, vinono nono
Basi nipe vinono nono, vinono nono
Kusema kweli nakupenda wee
Vile miaka inakwenda eeeh
Huh! Wachawi wazimie data
Na hayaishii hapa
Na wale vivuruge mouse wapatie papa
Nataka watie chata, achambulie kapa
Vyote nipe mia nisindikizie baba
Na nikikuudhi sorry, tumalize kifamilia
Una sura ya mdoli, nisochoka kuiangalia
Wanipandisha mori, kila unaponikumbatia
Chumbani magoli, hadi refa ndani ashaclear
Mapenzi huwa unaniwezaga, sana sana
Nikipenda sipendagi tena, tena tena
Kwako madanga yanadema, dema dema
Nakuvisha pete chanda chema, chema chema
Mi napenda vinono nono, vinono nono
Basi nipe vinono nono, vinono nono
Mi napenda vinono nono, vinono nono
Basi nipe vinono nono, vinono nono
Kusema kweli nakupenda wee
Vile miaka inakwenda eeeh
Na nikikuudhi sorry
Una sura ya mdoli
Wanipandisha mori
Chumbani magoli
Watch Video
About Vinono
More BRIGHT Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl