One and Only Lyrics
One and Only Lyrics by BREEDER LW
Ka ni wangu namwaga hadi ndani
Tupendane mapenzi ya dhati
Ka ni flow niko nazo ka thirty
All I know is I'm blessed si lucky
Me ni cancer haimalizwi na bangi
Style yangu ndio rapper ana copy
Ukosefu wa nidhamu kwa kazi
Me na fam hauwezi kuja kati
Ni kalesa sipandangi taxi
Si ni wale hustand out kwa umati
Kwa ma Roro mia kuwa Messi
Na ukikaribia si ni kesi
Sana sana ka wewe ni mrazi
All white na si bado una dhambi
Deni ndogo haifuatwi na gari
Nilifunzwa kuskizanga nafsi
Si ntafanya utahema you gasping
Me nagwaya pongi na risasi
Zote mbili hazinanga ata vaccine
Na kuomoka haitakangi lapsing
Hii ni era yangu kuwa rap king
We can keep it old school kama napkin
Hii kipaji inatakanga practice
Iende chain izunguke kwa axis
Magizani si huchomanga back street
Tangu ryma me huketingi back seat
FYI me ni wordsmith
Best rapper in the country
Ka unapinga si ukalange mafi
Handsome bado ugly
Lakini bado me ni gyalis
Hapa sheng si kilami
Uko chini skill yako ni wanting
Ndoto zangu ni za lambo si voxy
Ka ni TK ni fam si kikosi
Walistuka kupata ripoti
Me navuma kwa sasa I'm popping
Nikidunga ndula si ni costly
Ka hanyonyi basi me sigongi
Ju ya covid man a stay low key
Kobra one and only
Juggernaut no stopping
Ni ku elevate kama cockpit
Flow tight kama stocking
Kobra one and only
Juggernaut no stopping
Ni ku elevate kama cockpit
Flow tight kama stocking
Ku understand vako zangu ni ngumu
Circle biggie pia ni sumu
Underdog bado expert, mchezo siweki kwa pesa
Torture, tunatesa, legendary kama fella
Very soon nikiteta haitakua fatigue ni jet lag
Know your lane and stay there
We ain't same cause I'm way better
I've been deaf to the nay sayers
Check stats na usi compare
Kile nafanya kwa sasa, ni hio throne kupapasa
Young king, old crown, royalty niki touch down
Kobra one and only
Juggernaut no stopping
Ni ku elevate kama cockpit
Flow tight kama stocking
Kobra one and only
Juggernaut no stopping
Ni ku elevate kama cockpit
Flow tight kama stocking
Watch Video
About One and Only
More BREEDER LW Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl