Rere (Katika) Lyrics
Rere (Katika) Lyrics by DEZIAN
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Haya basi rererere re
Kila mtu rererere rave
Haya basi rererere re
Kila mtu rererere rave
Kwera kwera hapa hulengi mblein kama ni kwera
Hakuna story ya kata zimeshika juu ya mavela
Sina story ya feeling hapo ujue mi si Dela
Na ka ni ndwanga hapa bana ka ni njuang'a
Gura ka ni chang'aa kama jo mchanga
Mchanga ju ni mchanga
Mmmh unatetema kakitamba
Utajua ma odi bana ni visanga
Mmmh tumteke kwa kitanda
Akiharibu sana buda si ni danda
Mmmh akisema ni NACADA
Juu ya mavela hapa si unajua baba
Mmmh utapigwa fimbo hadi Kimbo
Hadi ushike dimbo ju ya madiplo
Na ufinye finye uweke nginyo
Ni thobothe ndani hadi kifo
Akileta chingri nina biko
Na ujue bana hapa siko
Akisema bana ni mammito
Na matoy bana ni madildo
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Haya basi rererere re
Kila mtu rererere rave
Haya basi rererere re
Kila mtu rererere rave
Ka ni form nimejipin na kindom
Ni kingori unajua ni kia ngong
Niko rada na si Karamojong'
Niko club akidance kwa hii song
Mkuruweng' nikiburn niko mandom aah
Cheki vile tu ngeus amejipa
Tunasere hadi tu saa sita
Ako rieng' tu rada ya mapizza
Cheki vile nikiwasha ni ma iza
Cheki vile tu niko marizler
Niko moja ni saa sita
Wacha zako twende iza
Cheki buda ni ma idhaa
Vile nakam ni makiller
Si tequila nikikata
Ni ki ng'ang'o kia maridha
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Haya basi rererere re
Kila mtu rererere rave
Haya basi rererere re
Kila mtu rererere rave
Ujuzi pia ni talanta
Pita jo ukirudi tunakungoja
Mmmh msupa wako wa kwanza
Ka ukijua huyo ndo wangu wa saba
Mmmh mimi keja natoka getho gwai
Na mapesa za sadaka nilinyonya ngwai
Mmmh nani alisema ujana moshi
Na mbona nikiwasha fagi murajeta muici
Mmmh tigana na fagi we Mwagi
Naeza maka nimjaze kwa hizo matangi
Mmmh tigana na fagi we Mwagi
Naeza maka nimjaze kwa hizo matangi
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Nakatika naye, leo mi nakatika na yeye
Haya basi rererere re
Kila mtu rererere rave
Haya basi rererere re
Kila mtu rererere rave
Watch Video
About Rere (Katika)
More DEZIAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl