Cheza na Dudu (Remix) Lyrics
Cheza na Dudu (Remix) Lyrics by DEZIAN
Cheza na Dudu remix lyrics, - Boondocks gang(Exray), Dezian, Kabagazi, Kappy, Vuva, Saleem, Dj Gogez
Aaah taniua
Ala kwani we ni ngeus wagithomo
Ala nilikuteka kimangoto
Nadhani ni vajo kumbe niliokota poko
Mmhh akililia wembe si alipenda dudu
Akadai star si apatiwe mtu
Akanalia kutu si apatiwe munju
Sasa Ex, utaniua
Sauti yako bana hadi hunimaliza
Igiza ibiza mama mapizza
Baridi ya freezer ju nina majira
Mapunyeto sasa akipara kuingiza
Mmmh stingo flani fanya miujiza
Si unapenda duni ka ni Cena
Mmmh duni ka ni Cena, mmmmh
Basi cheza na dudu(Ah ah)
Basi cheza na dudu(Ah ah)
Beiby cheza na dudu
Place imefika basi cheza na dudu(Ah ah)
Pigwa marungu(Ah ah)
Beiby pigwa marungu(Ah ah)
Basi kula marungu
Ju place imefika sai basi kula madudu
Mi nataka nikukembe mama
Kuna vile unanipa tamaa
Wacha nishike jegi yako kwa mat
Nitainyonya tukifika kwa bar
Niko na milli, ita kina Milly
Wakam kutouch mwili na wapewe mbili
Nikicheki madem nageuka mi kafiri
Si siri no surrender mi Albashiri
Msupa sober, na niko maji
Acha aniguse ngotha pia akuwe maji
Acha alalie shoulder, napiga roho safi
Mkono ndani ya trouser rungu ishajicharge
Kuomba naombaga ka nabii
Lakini nikipewa naipiga kama G
Ka watoto tunahesabu ABC
Msupa hataki songa amekwama tu kwa D
Basi cheza na dudu(Ah ah)
Basi cheza na dudu(Ah ah)
Beiby cheza na dudu
Place imefika basi cheza na dudu(Ah ah)
Pigwa marungu(Ah ah)
Beiby pigwa marungu(Ah ah)
Basi kula marungu
Ju place imefika sai basi kula madudu
Vika mwisho nilipiga hadi Koinange
Natakia pongi si mtulie jo ipangwe
Imefogotha makine iko kidale jo idarwe
Na tuko za bojongo itabaki ni we ulambe
Eeh lyrically mi huchill na Domani
Na vako za mistari mi huzitoa ndani ndani
Na thobotha fogotha na karhymes kim khali
Ndo maana naskia niko beach kwa bahari aah
Napenda tu hicho kijicho cha na dash
Ju kila siku naskiaga lazma mi ni party
Hata ka ni party mi naparty na patipati
Ndo maana unaskia mistari zangu ni posh posh
Basi cheza na dudu(Ah ah)
Basi cheza na dudu(Ah ah)
Beiby cheza na dudu
Place imefika basi cheza na dudu(Ah ah)
Pigwa marungu(Ah ah)
Beiby pigwa marungu(Ah ah)
Basi kula marungu
Ju place imefika sai basi kula madudu
Ka ni bei nipate basi booty call
Masaa ya studio utanipata niko zone
Mi nasaka doh, mi nadai tu kuball
Niko drinks niko on, ki 14 tunafall eeh
Ka ni kubeba, beba wote five four on
Ka ni majaba na matools cinamon
Eeh mami rieng', ka ni yeng, ka ni peng
Mi na ye, njoo tucheze mpaka chee
Come we stay get loose no delay
We gon do it your way
Dezian cheki Yengs ameweza
Waiter leta drinks leo ni crate juu ya meza
Leo nina kutu piga tot supu ya pweza
Niku bum, bum digida
We ni mtam mtam
Basi kam tingika
Eeh niku bum, bum digida
We ni mtam mtam
Basi kam, basi kam tingika
Mami rieng
Una kutu hebu give me that thing
Nikubeng
Mami rieng
Una kutu hebu give me that thing
Nikubeng
Watch Video
About Cheza na Dudu (Remix)
More DEZIAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl