
Safari Lyrics
...
Safari Lyrics by BIEN SAUTISOL
Tulianza safari Alhamdulillah
Tukaomba tufike Inshallah
Binadamu anapanga Shetani anapangua
Alhamdulillah tumefika Mashaallah
Ah ah ah
Ah ah ah
Ah ah ah
Mashaallah
Binadamu anapanga na Mungu anaamua
Alhamdulillah tumefika Mashaallah
Ai ye ye ye ye ye ye yeah
Adaa Daara Ilayska
Iyo Nuurka Dushayda oo
Dabiibay Naftaydee Kaalay
Soo Durug Baby
Adaa Daara Ilayska
Iyo Nuurka Dushayda oo
Daymadaada Quraa
Dagtay Laabtee Mashaallah
Waan Dabaal Dagaynaaye InshaAllah
Binadamu anapanga na Mungu anaamua
Alxamdu lilaah tumefika Mashaallah
Daymadaada Quraa
Dagtay Laabtee Mashaallah
Waan Dabaal Dagaynaaye Insha Allah
Binadamu anapanga na Mungu anaamua
Dawadaydaa tee Alxamdu lilaah
Tulianza safari Alxamdu lilaah
Tukaomba tufike Insha Allah
Binadamu anapanga Shetani anapangua
Alhamdulillah tumefika Mashaallah
Ah ah ah
Ah ah ah
Ah ah ah
Mashaallah
Binadamu anapanga na Mungu anaamua
Alhamdulillah tumefika Mashaallah
Ujana ni moshi tunapita
Ujana ni moshi tunapita
So jipe likiizo (AMEN)
Ucheze na maringo (AMEN)
Upunguze ego (AMEN)
Pia makasiriko
Ujana ni moshi tunapita
Ujana ni moshi tunapita
So jipe likizo (AMEN)
Ucheze na maringo (AMEN)
Upunguze ego (AMEN)
Pia makasiriko
Tulianza safari Alxamdu lilaah
Tukaomba tufike Inshallah
Binadamu anapanga Shetani anapangua
Alhamdulillah tumefika Mashaallah
Ah ah ah
Ah ah ah
Ah ah ah
Mashaallah
Binadamu anapanga na Mungu anaamua
Alhamdulillah tumefika Mashaallah
Watch Video
About Safari
More BIEN SAUTISOL Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl