Tikitaka Rostam Lyrics
Tikitaka Rostam Lyrics by BANDO
Rostam tikitaka
Yeah wanakuita singa singa
Maradona mara sembe
Nakufanya bila kinga
Huwezi ukapona kizembe
Yaani kuuma,
Misha kwamba blaza we ni boya
Alafu maji mara moja
Kama maharagwe ya soya
Haha mabraza ni wakimya sio wanyonge
Au mlango umefungwa nyuma wanataka wakugonge
Ama game imekushinda, unatafuta kiki
Sasi bora uongeze makalio udange na Gigy
Nyie ma-rapper waviringe bwana, akili ndogo
Yaani mnakimbia huku mkifosi kukata gogo
Wacheni shobo, mnashobokea sana dudu
Mmefanya kazi kubwa leo kumwongelesha bubu
Eti tikitaka Rostam, si kitambo bro
Hujui kwamba Roma babako wa kambo bro
Huna jambo homeboy, hapo utakaa mwanaume gani?
Umetongoza tomboy akakukataa(Kemikali)
Unashoboka man
Ukiona tumejibu ujue tumekuchoka man
We mjinga mpaka noma fuata yako
Kumbe hujui kusoma alafu mwalimu mkuu mama yako
Haha, leo hakuna jeans wala T-shirt
Si unajua dawa ya msitu ni Gilletti
Na kwa kuwa dawa ya Tanasha ni Chibu
Basi dawa yako mimi nakutibu taratibu
Mwanangu Sterio, mi ni babu yako
Acha nikutambulishe kuhusu ukoo wako
Roma ni baba yako, Stamina kaka yako
Usimtongoze tena Chemikal shangazi yako
Hahaha...
Wamemchokoza Bear....
Watch Video
About Tikitaka Rostam
More BANDO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl