Nayaona Lyrics

FIGTERNAL Feat DRAGON , LILY JAY & MKALI WENU Tanzanie | Bongo Flava,

Nayaona Lyrics


Ah in my life, you love me I see
Una mapenzi mpaka nayaona
In my life, you love me I see
Una mapenzi mpaka nayaona

Oooh ooh oh oh, oooh
Oooh ooh oh oh, oooh

Nawaza mpaka kichwa kinauma
Kwenye penzi unavyojituma
Nina moyo, sina chuma
Mi najua tu roho itaniuma, yeah

Siku nikindondoka
Penzi langu nani ataliokota?
Siku nikichoka
Penzi langu nani ataliocha?

Taabu shida 
Sote tumeumbiwa
Hakika niliapa
Nitakupenda daima

Ndio tumeapa
Ila moyo una hofu na mashaka
Kama penzi na pesa ni kama pacha
Je, tutafika tunapotaka?

Ooh kipenzi changu wee
Kipenzi changu wewe
Pacha wangu ni wee, ni wewe 

Ah in my life, you love me I see
Una mapenzi mpaka nayaona
In my life, you love me I see
Una mapenzi mpaka nayaona

Oooh ooh oh oh, oooh
Oooh ooh oh oh, oooh

Oooh baba, ah ah
Nakukundacha
Nakupenda sana

Hata mimi nakupenda pia
Ndio maana daily nakulilia
Nakuimbia, nafurahia
Penzi letu tamu najivunia

Mapenzi ni ya wawili
Na wasiwasi ndio akili
Tumefunga pingu sio bangili
Hata bingu zilibashiri

Ooh kipenzi changu wee
Kipenzi changu wewe
Pacha wangu ni wee, ni wewe 

Ah in my life, you love me I see
Una mapenzi mpaka nayaona
In my life, you love me I see
Una mapenzi mpaka nayaona

Oooh ooh oh oh, oooh
Oooh ooh oh oh, oooh

Leave a Comment