Ahsante Lyrics
Ahsante Lyrics by ATOSHA KISSAVA
Kuna wakati nilikutana na giza
Kwenye maisha yangu
Nikadhani ni mwisho wa maisha yangu
Lakini Baba ulinisaidia
Kuna wakati sikujua hatakama kesho kungekucha
Lakini mpaka Leo nipo hai kwa neema
Sijui niseme nini mbele zako aaah
Na na na na na na na na
Na na na na, na na na a
Moyo wangu!
Hawezi, kunyamaza Leo Baba acha nishukuru
Ni mengi sana, siwezi sema
Nikamaliza yote uliyo nitendea
Na na na na na na na na
Na na na na, na na na a
Nakushukuru uuuh
Ahsante Baba Ahsante Baba
Ahsante Baba, umenisaidia
Ahsante Baba Ahsante Baba
Ahsante Baba, oh oh oh oh
(Moyo wangu!
Hawezi, kunyamaza yale umenitendea
Yananitoa machozi
Moyo wangu!
Hawezi, kunyamaza yale umenitendea
Yananitoa machozi)
Oh Ahsante( Ahsante
Ahsante Ahsante Jehovah)
Sio nguvu wala akilizangu
(Ahsante Ahsante Ahsante Jehovah)
Umesimama upande wangu
(Ahsante Ahsante Ahsante Jehovah)
Umepigana na adui zangu
(Ahsante Ahsante Ahsante Jehovah)
Ume nifuta machozi
(Ahsante Ahsante Ahsante Jehovah)
Umenishika mkono
(Ahsante Ahsante Ahsante Jehovah)
Moyo wangu waku shukuru
(Moyo wangu!
Hawezi, kunyamaza yale umenitendea
Yananitoa machozi )
Oh Lord I thank you
(I thank you, I thank you, I thank you Jehovah)
You are my protector
(I thank you, I thank you, I thank you Jehovah)
You are my everything (I thank you, I thank you, I thank you Jehovah)
I am safe in Lord
(I thank you, I thank you, I thank you Jehovah)
Watch Video
About Ahsante
More ATOSHA KISSAVA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl