Nani Anibembeleze Lyrics
Nani Anibembeleze Lyrics by ASLAY
Aliniyenga yenga
Na vishanga shanga
Vya ki Tanga Tanga
Nikajiona mjanja
Kumbe ni mjinga
Alinipiga chenga
Aliniita mume
Na ndoa sijafunga naye
Kumbe aliunga tume
Ili wabebe zangu mali eeh
Yaani, yule gume gume
Nitaanzaje kukaa naye
Eeh, alinishindwa mtume
Nitaanzaje kuishi naye
Bilau yake viungo(Aaah aah)
Bibiye usiniache(Aaah aah)
Bilau yake viumbo(Aaah aah)
Kichungi usiniache(Aaah aah)
Nani anibembeleze eeh?
Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh?
Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh?
Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh?
Anibembeleze eeh
Kupenda maradhi
Mwenzio siwezi
Kupenda dhihaka
Mwenzio siwezi
Nilipanda mwembe
Nikategemea nitavuna madodo
Yaani kupenda nipende
Mwisho wa siku nikavaaga nyodo
Zari sio Wema
Umeniacha dillema
Zari sio Wema
Umeniacha dillema
Aah, asali wa moyo wangu
Barafu wa moyo wangu
Aah, asali wa moyo wangu
Barafu wa moyo wangu
Mi nilimuita mpenzi
Yeye aliniita mbuzi
Nikawa ku macho mchuzi
Mawani yalokosa lensi
Bilau yake viungo(Aaah aah)
Bibiye usiniache(Aaah aah)
Bilau yake viumbo(Aaah aah)
Kichungi usiniache(Aaah aah)
Nani anibembeleze eeh?
Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh?
Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh?
Anibembeleze eeh
Nani anibembeleze eeh?
Anibembeleze eeh
Watch Video
About Nani Anibembeleze
More ASLAY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl