Msalaba ndio asili ya mema by ANGELA CHIBALONZA Lyrics

Sioni haya kwa Bwana
Kwake nitang’ara
Mti wake sitakana
Ni neno imara

Msalaba ndio asili ya mema
Nikatua mzigo hapo
Nina uzima, furaha daima
Njoni kafurahini papo

Kama kiti chake vivyo
Ni yake ahadi
Alivyowekewa navyo
Kamwe havirudi

Msalaba ndio asili ya mema
Nikatua mzigo hapo
Nina uzima furaha daima
Njoni kafurahini papo

Bwana wangu tena Mungu
Ndilo lake jina
Hataacha roho yangu
Wala kunikana

Msalaba ndio asili ya mema
Nikatua mzigo hapo
Nina uzima furaha daima
Njoni kafurahini papo

Atakiri langu jina
Mbele za Babaye
Anipe pahali tena
Mbinguni nikae

Msalaba ndio asili ya mema
Nikatua mzigo hapo
Nina uzima furaha daima
Njoni kafurahini papo

Music Video
About this Song
Album : Msalaba ndio asili ya mema (Single),
Release Year : 2017
Copyright : ©2017
Added By: Trendy Sushi
Published: Mar 05 , 2020
More Lyrics By ANGELA CHIBALONZA
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment