Ombi Langu Lyrics
Ombi Langu Lyrics by AMBWENE MWAS ONGWE
Unawatia Moyo
Nitakulinda
Maana najua Kuna chemi chemi nitakujengea bomaa
Uwe salama
Adui akija asikuumize
Usiruhusu maneno yakuvuruge
Usiruhusu hasira ikuvuruge
Bwana naomba uketi nao
wale wanao tekana naomba upigane nao wote
Nisije nikakosea Nije nikosee
Wamenuna wamekunja sura
Nikama hawajapata Hesabu Zangu
Hili Ni Ombi langu kwako Mungu akumumbuke
Moyo wangu
Wewe ndio Baba wangu
Tena wewe Ni Mungu wangu
Tena wewe ufahadhi wangu
NIfanye Kama Yusufu
Wewe Uliona waziri mkuu
Wakamtazama Wengine
Awapeleleze ndugu zake
Wakamtupa shimoni
Wakamuuza kwa potiphar wafungwa wenzake wakamsahau
Ukamfanya Waziri mkuu
Na Mimi nifanye Kama Yusufu
Moyo wangu wewe Ni Mungu wangu
Tena wewe Ni ufahadhi wangu
Bwana wewe unaweza
Aaaah Aaaaaah
Wewe Ni Kisima
Kwako nitachota Baraka
Kwako nitachota Wema
Kwako nitaburudika
Aaaaaah Aaaaaah
Watch Video
About Ombi Langu
More AMBWENE MWAS ONGWE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl