Nitie Upofu Lyrics

AMBER LULU Tanzanie | Bongo Flava,

Nitie Upofu Lyrics


Mi kwako nguvu sina naheng'a naheng'a 
Naheng'a naheng'a naheng'a naheng'a 
Umenishika pabaya, nikikuona mwili unanitetema
Unanitetema unanitetema

Unavyosimamiga kucha miuno ya Fally Ipupa
Ukipanda wanashuka ndo ng'are ng'are
Ukinitomasa mi nakuvaa wee
Ni michezo ya shule ya sekondari

Nitie, nitie baba
Nitie, nitie baba
Nitie tunda, niitie
Nitie upofu wengine mi siwaoni

Nitie, nitie baba
Nitie, nitie baba
Nitie tunda, niitie
Nitie ukiziwi ya watu nisiwasikie

Hii ni ya Ganja misokoto
Nimepiga mingi sio kimoko
Nionyeshe Judo makarate
Nikirudi kwa chini nipakate
Ukiona inakwama we ikamate

Unavyosimamiga kucha miuno ya Fally Ipupa
Ukipanda wanashuka ndo ng'are ng'are
Ukinitomasa mi nakuvaa wee
Ni michezo ya shule ya sekondari

Nitie, nitie baba
Nitie, nitie baba
Nitie tunda, niitie
Nitie upofu wengine mi siwaoni

Nitie, nitie baba
Nitie, nitie baba
Nitie tunda, niitie
Nitie ukiziwi ya watu nisiwasikie

Ukipanda wanashuka ndo ng'are ng'are
Ni michezo ya shule ya sekondari

AMBER LULU (6 lyrics)

Amebr Lulu is a bongloflava music artist, model and actress from Tanzania.

Leave a Comment