Jajimento Lyrics by YOUNG DEE


Kwanza jiji mtaliona kwa macho
Na Dar mtakuja kwa passport
Leo nina power nitafanya nitakacho
Mi ndio judge alafu natoka chapo

Napandisha vyeo wana kitaani(Jajimento)
Natoa kibali cha kula mjani(Jajimento)
Natoa wanajela waje uraiani(Jajimento)
Nataka mimi mjue ninaitwa nani(Jajimento)

Hebu usiwe jajimento 
Usishauri kuwalafuna ta ghetto
Huna hata demu utashauri kuchumbia
Mi nina demu alafu nawaza kuhusu kesho

Na masela wangu wote peponi
Huku tunaimba(Jajimento)
Oya masela wote peponi
Huku tunaimba(Jajimento)

Napandisha vyeo wana kitaani(Jajimento)
Natoa kibali cha kula mjani(Jajimento)
Natoa wanajela waje uraiani(Jajimento)
Nataka mimi mjue ninaitwa nani(Jajimento)

Ah kama kichaka pewa rungu
Wenye chapaa ndo watalinda sungu sungu
Serikali za mitaa zote zitaundwa na wanangu
Polisi ni taka - tema changu

Na miraba maregoni lazima italipwa 
Atayekataa jua ndani atatupwa
Aisee mi sina maana(Sina maana)
Tangu jajimento niliposema legalize marijuana

Kila ba Medi alipwa mshahara milioni kwa mwezi
Na maksudi mi nitakata mishahara ya walevi
Siku ya kuzaliwa hakuna maswala ya kazi
Na jela siku hii hakupikwi nguna ni wali nazi

Na mwendo kasi zote mimi nitafanya school bus
Daladala sitaki tena  nitarudisha tena uda
Laini upande basi kuja Dar uwe na visa
Coz mi ndio judge alafu natoka kwa wajanja

Street wananiita honorable Jajimento
Fulani kesho kutwa nakuhitaji uje Central
Kama mapusha mi naishi nao ghetto
Kama soweto(Jajimento)

Napandisha vyeo wana kitaani(Jajimento)
Natoa kibali cha kula mjani(Jajimento)
Natoa wanajela waje uraiani(Jajimento)
Nataka mimi mjue ninaitwa nani(Jajimento)

Fungueni barabara mwanaume anapita
Sinaga masihara kwenye maswala ya vita
Kuchagua biashara ni kuchagua kitita
Desa weka kiuno imara utavunjika

Jajimento Mr Mento
Mobuttu Seseseko , Erick Ford
Umasikini ndio nini why silipi kodi
Tazama maandishi ya chat zenu sipigi hodi

Kazi na kazi sio kazi na dawa
Msimamo usiweke maji wazi watu watanawa
Ju -- ukiona hauna kazi akili iko sawa
Akili umegawa au labda una akili ya chawa

Akili ya Hawa kwetu ni godess power
Jajimento Mr kulimeza instrumental
Niguse uwe punching bag la wahuni gheko
MC Junusi shika elfu kumi kachukue Dettol
Alafu kesho njoo ghetto(Jajimento)

Watch Video

About Jajimento

Album : Jajimento (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 13 , 2019

More YOUNG DEE Lyrics

YOUNG DEE
YOUNG DEE
YOUNG DEE
YOUNG DEE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl