YOUNG DEE Peleka Habari cover image

Peleka Habari Lyrics

Peleka Habari Lyrics by YOUNG DEE


Nimechill na furaha najiona Bongo bahati mbaya
Kiutani utani nawabamba ile mbaya
Navochana tu napeta mpaka Ulaya
Madem sio wachoyo watakupa mpaka mwaya

Siogopi fununu au kuongelewa
Mlishamsema dadangu na akaolewa
So put your hands up in the air
Toka ticha kuna wengi washapotea

Ila mi bado niko
Wananiita mzee wa kuvunja mwiko
Na hii bila matandiko
Hii sio mvua ni mafuriko

Wala sisi hatujali
Kama umesikia peleka habari
Wala sisi hatujali 
Toka boba la uteta hatulali

[Billnass]
Nishaikata tamaa nikaona labda nizikwe
Na sitaki mazoea mastichi nikifa msinizike
Hamwezi kuwa mimi labda mi nife
Jibril Cisse, chafu pozi zenu za kike kike

Nahitaji sana priviledge hamko na vision
Ni ligi ndogo tukikutana kwenye mission
3 Dimension rotation kwenye kila television
Vitu ni HD yaani High Definition
Sio HB navuka nao mamalishe
Flash ni HP nyimbo za kutosha nawakalisha
Siwezi kupoteza Bima mnachana ka mko tuition

Na huu mziki ndo ulifanya nikatupa vitu
Kabla kukutana na Roma mwanangu hufungangi
Enzi za Ghetto redio ambayo ina cassette
Mambo yangu yako saloon anytime anajisu

Na sina hata mpango
Huwezi amini mpaka leo billahi na sina jambo
Na siwezi acha fanya
Naamini ipo siku mziki utanipa Bugana

Na siku wanadeka tu watoto
Na nikicheka ujue ni photo
Nishaieka nishateseka nazijua changamoto
Na nimetoka kwenye msoto 
Sijachoka mi wamoto
Jeshi la mtu moko aka Nenga Mafioso

Wala sisi hatujali
Kama umesikia peleka habari
Wala sisi hatujali 
Toka boba la uteta hatulali

Unaeza niita rapstar ukijukuu mi sijali
Majukumu si familia ata ukinunua gari
Kukuzi nguo maana unanikumbusha mbali

Wala sisi hatujali
Kama umesikia peleka habari
Wala sisi hatujali 
Toka boba la uteta hatulali

Watch Video

About Peleka Habari

Album : Daresalema (EP)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 12 , 2020

More lyrics from Daresalama (EP) album

More YOUNG DEE Lyrics

YOUNG DEE
YOUNG DEE
YOUNG DEE

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl