STEPH KAPELA Pilka Pilka cover image

Pilka Pilka Lyrics

Pilka Pilka Lyrics by STEPH KAPELA


Yule mjanja kama nakuja sikuji kubanja
Niko ma pilka pilka Ganji na ganja,
reason mkisii na move ka Karanja
Niko ma pilka pilka
Huku si huko, hapa lazima utachunga mifuko
Tuko ma pilka pilka
Huku si huko chunga vitu kuna vituko
Tuko ma pilka pilka

Wera na chapa na fujo
Ndio nijibu kama ndoto ni valid
Hustler moves ka Ruto
Bado na songa bila serekali
Heshima bei yake ni kali nini umefanya jina sijali
Mafan kawaida mikono ni juu
Nikama wako na maswali
saa hii nakoroga kokoto
Nyumba najenga ya kibazenga
Hii ndaachia watoto,
Ukilalisha utajipata msoto na viroboto
Nikubahatisha uwezi kaa mbali na moto
Na upate joto, aii

Yule mjanja kama nakuja sikuji kubanja
Niko ma pilka pilka
Ganji na ganja, reason mkisii na move ka Karanja
Niko ma pilka pilka
Huku si huko, hapa lazima utachunga mifuko
Tuko ma pilka pilka
Huku si huko chunga vitu kuna vituko
Tuko ma pilka pilka

Nikiwa mpyenga teli ni black n white na channel ni kbc
Saa hii mi ushinda teli day and night na si CCTV
Nilikalesa mpaka CBD nikimove ma CD
Saa hii ni mpesa ndio unifanya ni move, ama KCB
Buda na trend, hashtag TTT
Now you wanna be my friend
Why pretend, kumbuka TBT
Enzi za DVD, way back then
Ulikua biggie G, mi nikitii bidii
So my friend, anza na fifty Gs
Thats for BGV’s

Yule mjanja kama nakuja sikuji kubanja
Niko ma pilka pilka
Ganji na ganja, reason mkisii na move ka Karanja
Niko ma pilka pilka
Huku si huko, hapa lazima utachunga mifuko
Tuko ma pilka pilka
Huku si huko chunga vitu kuna vituko
Tuko ma pilka pilka

Watch Video

About Pilka Pilka

Album : Pilka Pilka (Single)
Release Year : 2021
Added By : Farida
Published : Dec 03 , 2021

More STEPH KAPELA Lyrics

STEPH KAPELA
STEPH KAPELA
STEPH KAPELA
STEPH KAPELA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl