Mama la Mama Lyrics
Mama la Mama Lyrics by RAYVANNY
Mama, mama, mama
La mama eeh
(Ayolizer)
Mola amenipa sauti niimbe
Nakuimbia wewe, ai
Woman of my life baby mama
Nakupa mabawa, fly
Nani ata dawa utapiwe
Uzuri wako wewe, myn
Material wife huna drama
Niende kwa mwingine, why?
Cha mapenzi kinaa kipime
Uone dhahiri upendo wangu
Usije kunitupa wewe(Aaah wewe)
Sina mwingine
Na sitobadili chaguo langu
Moyo wangu nakupa wewe(Aaah wewe)
Chocolate colour nywele laini
Lips mafuta na zina shine
Nguo za kung’ara your design
Thanks to the Lord now you’re mine
Sema pwani ya mabara wapi fine
Tukitoka out tukanywe wine
Figure 8 kinara sio nine
Unapenda wasafi tutaku sign
We ndo mama mama, mama la mama
We ndo mama mama, mama la mama
We ndo mama mama, mama la mama
We ndo mama mama, mama la mama eeh
Nikitazama sura yake namwona modo
Naiona taswira ya adabu sioni nyodo
Nauona mpapai alafu unafwata embe dodo
Nawaona wasopenda amani wote macho kodo
Ah ningepeleka wapi hichi kichwa kigumu
Ningepata wapi mwanamke wa kudumu
Ajiunge na Wasafi tusukume gurudumu
Na mnajuaga sitaki haya mambo ya kunywa sumu
Aah mama la mama, ooh mama mia aah
Kwako nimezama nimezama, nimezamia aah
Nihifadhi kama maji kwenye mwili wa ngamia
Usijali kuhusu mambo ya tango na vibamia
Nichakaze shawty, nikanyage sorry
Kwangu kuwa mchaga asubuhi nile kama mtori
Tafadhali shawty usinipandishe mori
Na ukinipa nyama naila kama mnyama pori
We ndo mama mama, mama la mama
We ndo mama mama, mama la mama
We ndo mama mama, mama la mama
We ndo mama mama, mama la mama
Watch Video
About Mama la Mama
More lyrics from Flowers album
More RAYVANNY Lyrics
Comments ( 1 )
Good job
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl