Single Lyrics by BEST NASO


Shiyo

Kanikuta kwenye starehe nakula bata like
Motto kanielewa kaniingiza kwenye line
Akaniuuliza, hey boy naweza pata kampani yako
Jibu, I’m a single
Hakuna matata agiza unachotaka ukimaliza sepa
I’m a single
Usiwe na shaka hata kama we una una rafiki we muite hapa
I’m a single
Kunywa bia tuinjoi sina haja ya mapenzi
I’m a single
Laaa lalala lalaa
I’m a single
Laaa lalala lalaa
I’m a single

Mrembo anapata tabu, ana nitegatega kwa mitego ya samaki
Mi sina habari, zangu pombe kali na kupareee
Maana nimetoka mbali hatarii
Mapenzi siyahitaji maana, yashaniumiza
Wapenzi hawana ukweli, siku hizi wanaigiza
Au unapenda tuinjoi?
Tule life la hapenzi usimind boi
Watoto wazuri wananiuliza, vipi naso una yupi ?
Jibu, I’m a single
Hakuna matata agiza unachotaka ukimaliza sepa
I’m a single
Usiwe na shaka hata kama we una una rafiki we muite hapa
I’m a single
Kunywa bia tuinjoi sina haja ya mapenzi
I’m a single
Laaa lalala lalaa
I’m a single
Laaa lalala lalaa
I’m a single

Mapenzi kwangi ni ushetani
Niache niijoi usinipangie bwana we nanii?
Mitungi juu ya meza, ndio inanipa kampani
Kama mayele natetema, yaani kichwa ndani
Atulazi zege bata nyingi mpaka kuchee
Uskae kinyonge agiza mfukoni mbona nipo byeee
Ita rafiki papaa musofe ni pedeshee
Story, kunywa tu ukitaka sexy uo ni ushee
I’m a single
Sitaki story za makopa kopa
Nimekaa na waki hizo story ndio nimeshachoka
Hamnipati sekta iyo mmenikosa
Kwanza muite mhudumu, tuendelee kuitumia posa
Na ukiwaka, ita taxi, chimbaa
Tuache masingo, tuinjoi kibingwa
Mpe salam bwana wako kavukavu
Mwanbie hatutegeki kwa ndoano wala kwa nyavu

Hakuna matata agiza unachotaka ukimaliza sepa
I’m a single
Usiwe na shaka hata kama we una una rafiki we muite hapa
I’m a single
Kunywa bia tuinjoi sina haja ya mapenzi
I’m a single
Laaa lalala lalaa
I’m a single
Laaa lalala lalaa
I’m a single

Watch Video

About Single

Album : Shujaa (Album)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Jun 21 , 2022

More BEST NASO Lyrics

BEST NASO
BEST NASO
BEST NASO

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl