NATTY Peptang cover image

Peptang Lyrics

Peptang Lyrics by NATTY


Natty!
(Chuom na shada ka rada ni safi)
(Hii sio wada nipate maskani)
Chuom na shada ka rada ni safi (Safi)
Mi hukam ka thegi mtaani
Na circle ni small hatubambi umati
Me sio wada nipate maskani
Huyu dem ako busy hio pongi ni traffic
Most times ilikuwa tu tragic (Uh)
Walihepanga smagics
Sipendi madrama ndio maana niko maji

Most times nilikuwa tu around hii area 
Niite tu king of the block
Na sijai fuatana na msee 
Ka si geng si unajua tu huyo morio namdrop
Niko na bad intention
Macho Chinese ju ya venye hii blade inachop
Right now, right now wako all on de pussy
NYS nilimwacha akijog

Alidhani nimequit 
Hii shank iko fit ni chings with no delay
We skia anawika si unipitishie kigode
Leta hio umbleina uone tool ikispray
Ka siko on job ujue jo niko sorted
In fact me ndio nilipave the way
Hao marraper wakishindilia context
Nilikuwa namove notes ka chain

Mwambie arelax nikipush jo inner
Anything sh- get -sh
Anything op by force naichambua for dinner
Ndio maana wote walizima kwa hii rizzla
Ata sijavua na dem ashajipa
Nyi bado mnalilia features
Mi niko top by choice
Ka si doo invoice
Nikiswitch hii flow mtakeep up

(Nikiswitch hii flow mtakeep up)
Tell me what's your choice 
Nikisema usikuje usilete hio kichwa
Na siezi trust hao mafala 
Maboy wana swara maboy wamevimba
Rong nilikuwa naball ka Lingard
Staki location nataka tu jina
Anacheza na stima

Bro ako waiting namove tu diligent
Ju how many times nilitap hio haga
Bado booty ni silicone
Nataka hio doo advance 
Nikichill kwa beach nacount tu mamillions
Wameanza kuwa ghetto juzi 
Penda mtaa yako bro kuwa lenient

Na mi huvuta different strand 
Nikipull up na mash ujue kumedhoka
Same time anataka double-tap 
Me siezi double-tap hio pongi haijaomoka
Siezi beef hao mafala nikue ka (Uh)
Nipoteze focus
Ju same way naback (Uh)
Ka sijamfunua nitakam na copper

Most times nilikuwa tu around hii area 
Niite tu king of the block
Na sijai fuatana na msee 
Ka si geng si unajua tu huyo morio namdrop
Niko na bad intention
Macho Chinese ju ya venye hii blade inachop chop
Right now wako all on de pussy
NYS nilimwacha akijog

Chuom na shada ka rada ni safi (Safi)
Mi hukam ka thegi mtaani
Na circle ni small hatubambi umati
Me sio wada nipate maskani
Huyu dem ako busy hio pongi ni traffic
Most times ilikuwa tu tragic (Uh)
Walihepanga smagics
Sipendi madrama ndio maana niko maji

Watch Video

About Peptang

Album : Peptang (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 24 , 2022

More NATTY Lyrics

NATTY
NATTY
NATTY
NATTY

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl