Popular Kenyan gospel artist, Bahati releases the remix of his song "Wanani" featuring ...

Wanani Remix Lyrics by BAHATI


(EMB Records)

To! Toto si toto (Ulalaa)
Nimeshinda lotto (Ulalaa)
Kukupata mtoto (Ulalaa)

Basi wewe wanani?
Niambie wanani?
Wanani? 
Kama sio wangu tu

[Mejja, Okwonko]
Beshte yako ni hater naona hatutakii
Ni mtiaji itabidi umtie zii
Mahater mi huwatafuta ka shimo ya shindano
Huyu manzi ni mhandi anakaa kuitwa Miano

Mchoree mwambie apotelee
Mwambie nakupenda itabidi azoee
We ni mrembo nakutamani
Wao huskia wivu ulipenda msee wa kitambi

[Petra]
Nobody can ever take your place
You know is not gonna happen
Coz I'm not an average typa lady
That's why they tried to hate me baby

Just tell me you got me
And now forever stay true
You woun't ever see me on another man rules
Moyoni mwangu wewe ndo wawakilisha tu
Hata wafanyeje uko stuck like glue 

(Oooh)
Umeshinda lotto kunipa mtoto

[Chorus]
Basi wewe wanani?
Niambie wanani?
Wanani? 
Kama sio wangu tu

Basi wewe wanani?
Niambie wanani?
Wanani? 
Kama sio wangu tu

[Odi wa Murang'a, Mr thobo thobo]
Toto si toto ni urojorojo
Apple of my eye nakuuma kimangoto
Aliyekuzaa ni lazima tu akuwe na uhondo
Ulimi sacco wakupati, putharing omongo

Mtoto ni mkia na ametoka Busia
Ukitaka poshomill mwana wa efue nitakushikia
Nikupeleke Murang'a huko kwa Mwangi wa Iria
Tukule hizo manyeni na thufu ya togotia

[Ssaru, Ssaru wa Manyaru]
Mtoto nimeweza hadi nakujanga kwa ndoto
Ye hataki niende kazi wala hataki niende soko
Anaogopa siku moja mi nitatekwa na masonko
Kwako nimerelax mi ata sitaki nyoko nyoko aah

Nyoko nyoko za warazi wanoko
Kwanza ebu baby poze ndo tupige photo moto
Ukipost pale Insta watasema mi ni poko
Harusi ni ya waras tunaifunga kimangoto

[Chorus]
Basi wewe wanani?
Niambie wanani?
Wanani? 
Kama sio wangu tu

Basi wewe wanani?
Niambie wanani?
Wanani? 
Kama sio wangu tu

[Benzema, Alenjandro]
Aaah! Skiza skiza aah
Haters wanasema mteme ndo upenye
Nawajibu hii ni ndoa iliundwa heaven
Usiseme sikusema watasema
Watachoka na wataachana mapema

Kuwa offender nitakuwa the defender
Bulletproof tutabuy pia na madeng'a
Alenjadro sitainyonya kama nectar
Nitaimarinate na tomato sauce ya Peptang

[Chorus]
Wanani? Niambie wanani?
Wanani? Kama sio wangu tu

Basi wewe wanani?
Niambie wanani?
Wanani? 
Kama sio wangu tu

[Outro]
Toto si toto (Ulalaa)
Nimeshinda lotto (Ulalaa)
Figa moto (Ulalaa)
Beiby beiby

Toto, toto si toto (Ulalaa)
Nimeshinda lotto (Ulalaa)
Kukupata ndoto (Ulalaa)
Oh Oh

Watch Video

About Wanani Remix

Album : Wanani Remix (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 EMB Records.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 03 , 2020

More BAHATI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl