NATOLY  Ua la waridi cover image

Ua la waridi Lyrics

Ua la waridi Lyrics by NATOLY


Lala lala lala lala lala lala
Lala lala,lalalalalaaa... 
Nashangaa, ulifunga virago mwenyewe kaondoka,
Hewala nimepata mchumba mideko nadekezwa...
Mashalah, taratibu chumbani kijasho chanitoka...
Anipa rahaa masimango Kichali mi tena siyaoni.
  Kulala hoi na kusononeka,yote nmepitia.
Kutwa majanga mi naweweseka,mwenzako nilijutia.
Leo kuku kanaswa kwa tenga mwenyewe nimeshachumbia.
Ananipa penzi,tena kwa vitenzi,,na kumwacha Siwezi.
"""Alinihaidi atavumilia,zangu zote kasoro.
Amenizamisha kwenye lake penzi,naona maruweruwe
Amenizamisha kwenye lake penzi,naona maruweruwe

 
Niinalo ua la waridi, nalimwaagilia mbolea.
Niinalo ua la waridi, nalimwaagilia mbolea

Sipashi viporo, hananga kasoro ni wangu wa ndani,
Chaguo la moyo,hapendi uchoyo,mwisho mi nafikishwa.
Uliniahidi utanipa mapenzi bila ya kusitisha,
Penzi langu la dhati kalicheza karate jeraha nauguza.
Hebu kwanza nikome, ungeniacha nipone Jeraha la moyo,,,
Nina wangu lazizi  anayejua nogesha mapenzi full charge.
"""Akipinda napita kwa mabano, msobe sobe milima napandishwa.
Kwichikwichi mahaba naletewa,nadekezwa kaa mtoto.
Kwichikwichi mahaba naletewa,nadekezwa kaa mtoto
 
Niinalo ua la waridi, nalimwaagilia mbolea. 
Niinalo ua la waridi, nalimwaagilia mbolea
 
Naomba ondoka, mwenye penzi la kweli asije kupata.
Nitakua taabani,taabani mwenzio nishindwe kuhema.
Alivyo bisha shetwani milango huku kwetu we ndo ulifungua.
Ukadhihaki kuondoka tena mwendo kaa gari za kariako.
""" Hebu kwanza nikome, ungeniacha nipone Jeraha la moyo,,,
Nina wangu lazizi  anayejua nogesha mapenzi full charge.
Nina wangu lazizi  anayejua nogesha mapenzi full charge
 
Niinalo ua la waridi, nalimwaagilia mbolea.
Niinalo ua la waridi, nalimwaagilia mbolea
Muda Mwingine macho huupa moyo kazi ngumu 
Ya kuchagua ni ipi sahihi na ni ipi sio sahihi.  
Kwa hivo usiache mbachao kwa msala upitao...

Watch Video

About Ua la waridi

Album : Ua la waridi (Single)
Release Year : 2020
Added By : Natolie
Published : Dec 11 , 2020

More NATOLY Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl