Makofi Lyrics by GWAASH


Kikiki (Ingine mbaya)
K for Kanali you know
Fatboy Gwaash (Kuru)

Hainanga kelele
Leo me ni sterro nakusongesha kidere
Speedy za 150 tukipunguzanga ngede
Kaende kaende, ziraru raruere
Party tulifika Kama tushakata drinks
Io unamaanisha kutoka hapa jo tunamix
Shadda inalula me najing mataxin,
Saizo shawty anarushanisha sianda kwa scene, ati?

Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 

Tupige makofi, tupige makofi 
Tupige makofi

Hio sianda ina clap
Kwanza baby ukitwerk
Unanimada ninadry hella baby ju ya ass
Kakikula hio swallo ndio najua una ass
Sio dera unafaa, ni booty pant unafaa

Pale coast kwenye beach, watajua you are my bitch
Si utani hio haga itafanya ukuwe rich
Wengi wanameza mate but utadu nini?
Tippy toe, tippy toe, tippy toe club covid
Ati mimi ndio Gwaash, toto nilikuwa nasnadi
Nawachai kimangoto sio moto ni kipaji
Kushika pesa jo mtoto hizo boss za wangati
Bazu nikibanja wote wanakula moto
Wanadigi mikono zangu zimejaa tu mangoto
Toto wote wao wanajua mi mode fimbo mo, fimbo moto

Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 

Tupige makofi
Tupige makofi 
Tupige makofi


[Mastar VK]
Geuka mami nikupe chuma ya doshi
Mtoto si amebeba kwela bigi na ni comfy softy very spongy 
Mi hukateka kwa keja naeka nyororo kwa konji
Kurombosa zinatedi ndenda ju ni boucy
Dancey baby si unishike ka ni sanse
Naeza hepa wera ndo kapongi nikasosi
We na baby nina chuma ya mdosi
Ni wewe mi hudunga masindano ka za hosi
Napiga misumari ju kumbao ju sikosi

Gai gai gai gai naomoka na nibuy ndae
Nipate niko high buda nikibuy ngwai
Napenda nikiririma manze ka zimeniwai
Walai heri niuze mayai kuliko jo nisote hadi nijitoe uhai
We wewe ni afande weuweee

Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 
Geuka mami tupige makofi 

Tupige makofi
Tupige makofi 
Tupige makofi

Usikuje na umbwakni
Hapa zinamuokre sitambui bloody fuckn
Nipate na geri ya mabandi walafi
Mali fisa inafanyiwangwa scuffling
Kila mtu pia ako meda ya shabz
Baking powder ndani ya maji ya ugali
Vile ni kudry utatokwa hadi round two
Lawama baadae nikustep na mrazi
Design nawateka Akuku Danger 
Tena tukisepa leo namfanya wrestler
Ni paka inagrow makitesla
Mechanic but leo nakufanyia titration
Deep zile sections solar haijai step on
Naeza potea na zae sidai direction
Ushaiskia poems zile za man solo
Eh niko yoghurt na gut, tuko youghurt na gut

Geuka mami tupige makofi
Stray music!

Watch Video

About Makofi

Album : Makofi (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 28 , 2020

More GWAASH Lyrics

GWAASH
GWAASH
GWAASH
GWAASH

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl