No Shida Lyrics by NAZIZI


Wah wah wah wah walahi 
Kuna wasee wanakujaga na shida mingiii
(eeh my Nigga)
Nani?
Hakuna mwanaume anatokaga nyumbani na stress
Ni nyinyi mna tulazimishaga na hizi ma wazimu
Acha kusumbua jooh...(hahaha si utoboke)

Niko na thao, thao dude no change
Jipange bro, ji arrange(ooh ni cha ivo?)
Na sina doh za kukupa
Ni za kustand kwa ma herb na machupa

Mmmh, full tank ka mafuta
High grade tunavuta
Niko maji, niko gauge(niko niko gauge)
Kwa container ukinikuta, 

Don't bother me, don't bother me 
Don't bother me, don't bother me 
Don't bother me, don't bother me 
 
Staki stress, no shida, no shida,  aah no shida
Zii staki kesi, no shida, no shida
Staki stress, no shida, no shida, aah no shida
Zii staki kesi, no shida, no shida

Wanauliza, kwani Naz kulienda aje
Ulinipromise joh next time
Wee manze, niaje nipishe

Niko juu ya Konyagi
Kizunguzungu (hii) kizunguzungu (lewa)
Sioni jo!
Vuguvugu, vuguvugu, naona giza
Manze, washa stima
(Ata mzime stima bado tunaendelea kuonja)

Don't bother me, don't bother me 
Don't bother me, don't bother me 
Don't bother me, don't bother me 
 
Staki stress, no shida, no shida,  aah no shida
Zii staki kesi, no shida, no shida
Staki stress, no shida, no shida, aah no shida
Zii staki kesi, no shida, no shida

Ka ni sababu, ziko mingi kuu
Kesho niko na show usiku
Nikiget ganji nitakupee
Maybe but usitegemee

Mimi si shuga mummy, mimi ni OG
Ka ni hustle, na hustle muziki
No sponsor, no extra cheque
I work hard for my money, beginning

Staki stress, no shida, no shida,  aah no shida
Zii staki kesi, no shida, no shida
Staki stress, no shida, no shida, aah no shida
Zii staki kesi, no shida, no shida

Adrenaline imepanda(haaa)
Sasa mi ndio kusema
Maddam Naz, tuseme tu ni ka umeniangalia
ukaona mimi ni sumbua sindio(eeeeh)

Ukaona mimi ni bure, 
Ninakufinyia macho unaninunia
Hiyo ni ungwana kweli?(mmmh)
Kona kona kona, izo masiku zilikwisha

Aki madam tusisumbuane
Na ukipendwa pendeka!
Hii ni club sio soko ya bure
Ama nimeongea mbaya majameni?

Don't bother me, don't bother me 
Don't bother me, don't bother me 
Don't bother me, don't bother me 

Watch Video

About No Shida

Album : No Shida (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Mar 23 , 2019

More NAZIZI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl