Bloody War Lyrics
Bloody War Lyrics by MBOGI GENJE
Bloody scene mareporter wahepe
Ka ni scene marevolver ma AK
Ibaki scene nikawe ngwangi ama senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Mahuru ni mahuru ye atabaki kuwa mahuru
Na wa huku hutumia dumba na madawa kama dudu
Ka ni vita utabaki bila ukapi na marungu
Hapa issues staki unaeza vunjwa bloody nugu
Pia ma-misuse staki jua exile tuko huku
Bila morio bila ndugu utaweza utafaulu
Kila mtu ana virusi hadi mapastor wanajishuku
Hapa hakunaga mapenzi jo mapenzi haiezi dumu
Na nakunawuo nakudigi gotea morio chanji zigi
Ye huziroll bila zigi buda riang' kaa makini
Kunywa thiang' kama mbili buda riang' huna akili
Huwezi burn ka nare, huwezi run ka mkale
Kisu, kisu haichagui koma, koma koka haichagui kisu
Kisu, kisu haichagui koma, koma koka haichagui kisu
Kisu, kisu haichagui koma, koma koka haichagui kisu
Unambao na unadai kubuy Kibao nusu
Bloody scene mareporter wahepe
Ka ni scene marevolver ma AK
Ibaki scene ni ka we ngwangi ama senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Zama choche ya machingri na makidri
Hao marezy wanabanja ni wa nigri
Nafufua ile ilengi wanazigri
Rengwa wako Chiromo kwa njifri
Mi hupenda kuzi cock kama koki
Kama mbaya basi tunabaki mbogi
Uko tifla umebugda kwa rodi
Na madibla zimetapakaa kwa rothi
Morio ngori anasimamia njiste
Ka ni ngeoso mi huzungusha na diffre
Ka ni asset kuzipeleka moriste
Ka ni baley mi hubwagishaga ticre
Tuko frontde m-G tumejibeba
Tuko stroko kila giz kujitepa
Ka ni shake si hulima hizi ndepa
Hizi shang' ndio husababisha rieba
Niko ndoso nawazama tu mambosho
Ni kunare walidhani ni kunyoso
Zimeshika ka simiti na kokoto
Kuwadeki kwa warosho kimangoto
Bloody scene mareporter wahepe
Ka ni scene marevolver ma AK
Ibaki scene nikawe ngwangi ama senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Kifo haichagui ka umeokoka
Haichagui kabila
Haichagui ka we umeomoka
Haichagui kama wewe hukaa bila
We ni simba blunder umekam sina itoka na bilaa
Achanga ufike shang' alafu upate mi ndio gantila
Achanga ukabila, si ni watumwa tuliacha mila
Medi wa miraa, huwezi nipata mi bila silaha
Bangi na miraa, bangi na
Bangi na miraa, bangi na silaha
Hakuna vitu siwezi kaa bila
Bloody scene mareporter wahepe
Ka ni scene marevolver ma AK
Ibaki scene nikawe ngwangi ama senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Ama gwangi atabakishwa na senke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Masenke, masenke, masenke
Hapa gwangi atabakisha masenke
Watch Video
About Bloody War
More MBOGI GENJE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl