...

Mimi na Wewe Lyrics by BAHATI


My baby

Harufu ya ubani

Marashi yako mamii

I wanna smell this forever

My baby eh

Ka figure umbali

Akin we ni mali

I wanna taste your lips forever

Waliosema tutaachana

Wako hapi?

Walisema hatuendi mbali

Hapa ni wapi ?

Waliosema tutaachana

Wako hapi?

Walisema hatuendi mbali

Hapa ni wapi ?

Nina imani

Mimi na wewe

Ndio wenye mapenzi

Mimi na wewe

Mina imani

Mimi na wewe

Ni chanda na pete

Mimi na wewe

Panda

Panda kwenye gari la mapenzi yangu

Nikuonyeshe my love like you never before

Lala, lala kifuani mapenzi wangu

Mimi ndio wako doctor

Nikupe loving and laughter

Nitafanya nini, nione umrfurahi

Mke wangu tutapita na mengi

Vita vyako wee, ndio zangu

Kwenye mawimbi

Baby hold my hand

Tutashonda useinde na mbali

No retreat, no surrender

Waliosema tutaachana

Wako hapi?

Walisema hatuendi mbali

Hapa ni wapi ?

Nina imani

Mimi na wewe

Ndio wenye mapenzi

Mimi na wewe

Mina imani

Mimi na wewe

Ni chanda na pete

Mimi na wewe

Waliosema tutaachana

Wako hapi?

Walisema hatuendi mbali

Hapa ni wapi ?

Baby oh

Watch Video

About Mimi na Wewe

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : Jul 15 , 2025

More BAHATI Lyrics

BAHATI
BAHATI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl